Ada na gharama za kumsomesha mtoto English medium kwa miaka 4 ni milioni 10. Atachoambulia huko unakipata kwa Ras Simba kwa mwezi mmoja tu kwa laki 2

Hivyo vitu ulivyotaja havipo kwenye shule za serikali?
Kwa Ras Simba nimeongelea issue ya English language
Sijasema kwenye shule za serikali havipo?Ni uwezo na maamuzi ya mzazi tu. Kwani serikali haina hizo shule za English medium?Nimeona hoja yako imeegemea zaidi kwenye lugha ukasahau wazazi hawapeleki huko kwa ajili ya kiingereza tu.
 
Huna akili
 
Kabla hujafikiria gharama za kusomesha mtoto English medium Kwa mwaka,
Anza na gharama za kula yako na family yako Kwa mwaka shilling ngapi?

Je ni bora ushindie kula maembe na mihogo ya kukaanga usave pesa au ule mlo mzuri japokuwa ni gharama?
 
Unaweza mfundisha mwenyewe kusoma na kuandika kuepuka gharama zingine afu ukamfungulia biashara aendeshe, matajiri wengi hawajasoma sana, kupanga ni kuchagua.
Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…