Ada (pesa) na mahitaji mengine A-LEVEL (GOVERMET) INAFIKA SH.NGAP?

Ada (pesa) na mahitaji mengine A-LEVEL (GOVERMET) INAFIKA SH.NGAP?

SHAY2

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Kwa wale waliopitia A-LEVEL in govermet or hata kama ni private lakini anafaham plz naombeni m2juze ili 2weze ku focus 2taanzia wp? Maana weng we2 2natoka katika familia za kipato cha chin so 2kifaham 2natweza kujipanga kabla kuliko kusubiri kutangziwa na wahusika wa shule hizo kwani muda utakua ni mfupi sana na kujipanga kunaweza kukawa vigum,plz help us.
 
mm nilipa ada sh 70,000 kwa mwaka; ilikuwa n mwaka 2005-7 sijui kama zimepanda!! mambo mengine yalikuwa jembe, fyekeo, rimi ya karatasi, 10,000 ya sweta!

Inshort kwa kuanza term ya kwanza i thnk laki 2 inaweza tosha kwa shule zetu za serikali!!hyo n ada na mambo mengine ya shule hapo ie. uniforms, etc bt kwa pocket money inategemea pia na kipato cha mzazi/ndugu yako pia na jinsia; kwa mfano gharama(matumizi) za msichana ni kubwa kuliko za mvulana akiwa shuleni!!
 
Molembe;8842378]Andaa kama laki 5 mahitaji ni mengi mno. Mkuu ungeorothesha mahitaji yote, kila hitaji na pesa yake ingekua poa xana.
 
Kwa wale waliopitia A-LEVEL in govermet or hata kama ni private lakini anafaham plz naombeni m2juze ili 2weze ku focus 2taanzia wp? Maana weng we2 2natoka katika familia za kipato cha chin so 2kifaham 2natweza kujipanga kabla kuliko kusubiri kutangziwa na wahusika wa shule hizo kwani muda utakua ni mfupi sana na kujipanga kunaweza kukawa vigum,plz help us.

for boarding school
ada-70000
michango mengine ina depend na shule husika i.e ndanda boys 2011-13 tulilipa 74000Tsh. hapo bado utatakiwa uende na rim paper package!,hard groom, jembe etc inategemea na joining instructions yako inasemaje .,kuhusu pocket money elf 50-60 inatosha kwa muhula au m-pesa isome elf 20 kwa mwezi.....!
NOTE: hii ni kwa most of the boarding government high school in Tanzania

ABOUT SHULE ZA KUTWA NA PRIVATE SIFAHAMU......!OVER
 
Back
Top Bottom