Kwa wale waliopitia A-LEVEL in govermet or hata kama ni private lakini anafaham plz naombeni m2juze ili 2weze ku focus 2taanzia wp? Maana weng we2 2natoka katika familia za kipato cha chin so 2kifaham 2natweza kujipanga kabla kuliko kusubiri kutangziwa na wahusika wa shule hizo kwani muda utakua ni mfupi sana na kujipanga kunaweza kukawa vigum,plz help us.