Ada ya Mwanza University ni kubwa sana

Ada ya Mwanza University ni kubwa sana

hatedthemost

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
469
Reaction score
324
Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?

Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
 
Habarini wana JF jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17] hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya.
Maana tusio na uwezo tunakoma sana
KAIRUKI HIVYO HIVYO
 
Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?

Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Then CUHAS, K.c.m.c, kairuki na kungine huko ndio maana vijana wana skip masomo ya Afya wanenda kozi nyingine huko kwa sababu wametoka kwenye familia masikini
 
Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?

Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Kama elimu yao itakua bora kulingana na hela yao ni sawa tuu. Kozi ya medicine ni gharama sana, usipumbazwe na ada za vyuo vya serikali na mashirika ambavyo vina ruzuku kutoka serikalini/shirika.
 
Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?

Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
kuna chuo kinaitwa Mwanza University?
 
Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?

Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Hiyo milioni 8 kwa kozi gani kwa mwaka au semester
 
Sasa ajabu iko wapi Bugando 7.2m kairuki 7.5m muhimbili 6m kampala University 7.6m hiyo ndo ada ya hiyo kozi ya medicine
Uongo uache bugando 5.9, kairuki 7, muhas 1.8
Kampala haijafika 7.6
I don't see why y'all y'all lie for no reason
 
Back
Top Bottom