hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 469
- 324
KAIRUKI HIVYO HIVYOHabarini wana JF jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17] hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya.
Maana tusio na uwezo tunakoma sana
Mwanza university wamezidi woteee[emoji24][emoji24][emoji174]KAIRUKI HIVYO HIVYO
is this a new institution, I have never heard of it!Mwanza university wamezidi woteee[emoji24][emoji24][emoji174]
Then CUHAS, K.c.m.c, kairuki na kungine huko ndio maana vijana wana skip masomo ya Afya wanenda kozi nyingine huko kwa sababu wametoka kwenye familia masikiniHabarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?
Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Kama elimu yao itakua bora kulingana na hela yao ni sawa tuu. Kozi ya medicine ni gharama sana, usipumbazwe na ada za vyuo vya serikali na mashirika ambavyo vina ruzuku kutoka serikalini/shirika.Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?
Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
kuna chuo kinaitwa Mwanza University?Habarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?
Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Hiyo milioni 8 kwa kozi gani kwa mwaka au semesterHabarini wana JF, jamani kuna chuo kipya cha Mwanza university nimeona ada ni milioni 8 kwa local citizens[emoji174][emoji17]. Hivi haiwezekani serikali kuregulate ada kwa vyuo vya afya?
Maana tusio na uwezo tunakoma sana.
Tena kwa chuo kipya mhhHata mimi niliona ni kubwa sana
MD kwa mwakaHiyo milioni 8 kwa kozi gani kwa mwaka au semester
Sasa ajabu iko wapi Bugando 7.2m kairuki 7.5m muhimbili 6m kampala University 7.6m hiyo ndo ada ya hiyo kozi ya medicineMD kwa mwaka
Sasa ajabu iko wapi Bugando 7.2m kairuki 7.5m muhimbili 6m kampala University 7.6m hiyo ndo ada ya hiyo kozi ya medicine
Sasa ajabu iko wapi Bugando 7.2m kairuki 7.5m muhimbili 6m kampala University 7.6m hiyo ndo ada ya hiyo kozi ya medicine
Uongo uache bugando 5.9, kairuki 7, muhas 1.8Sasa ajabu iko wapi Bugando 7.2m kairuki 7.5m muhimbili 6m kampala University 7.6m hiyo ndo ada ya hiyo kozi ya medicine
Nashangaa katoa wapiMuhas ni 1.8m kwa mwaka acha upotoshaji