Ada ya Mwanza University ni kubwa sana

hiki chuo Ni cha kuaminika kweli? nani ana taarifa za ndani kuhusu hii Mwanza university?
 
Nilipangiwa MD Chuo cha IMTU, aisee. Shikamoo. Nakumbuka ada ilikua $6,500 hivi. Hafu HESLB wananilipia 100% tuition fee ambayo kumbe ina limit, ilikua kama Mil 2.8, kwahiyo iliyobakia alipie mshua.

Tungeuza hadi vijiko aisee. Ndoto za Udaktari zikapotea kama ivo.
 
Najiona mm
 
Mwaka 2016, mwanafunzi wa st.joseph university waliofanya mgomo na baada ya waziri wa elimu prof.Ndalichako kukaa nao hilo ulikuwa moja ya sababu ya mgomo wao na walijibiwa kuwa, hakuna mwanafunzi anayelazimishwa kusoma chuo chenye gharama kubwa kwani wakati unaomba vyuo huwa kuna gharama za kila chuo hivyo ukiomba kusoma vyuo vyenye gharama kubwa maana yake unajiweza kulipia.
 
Zamani ilikua unajulikana kama chuo Cha afya tandabui, haikua na tofauti na vitaasisi kama zayon au Kilimanjaro driving school
So Tandabui ndo Mwanza Univ kwa sasa? Kuna ghorofa hapa jirani na salama cone kitambo kulikuwa na bango juu la Mwanza unv ila wao walikuwa na deal na Aviation
 
Kama huwezi si unaacha mkuu nenda chuo kingine, yani mtu chuo chake alafu umpangie ada achukue kiasi gani? 😂
 
Zamani ilikua unajulikana kama chuo Cha afya tandabui, haikua na tofauti na vitaasisi kama zayon au Kilimanjaro driving school
Tandabui kilisusiwa na kukejeliwa kuwa ni hopeless chuo. nadhani ndiyo akabadili jina. All in all, nani alimoa kibali cha kuiita Univrsity?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…