Ada ya usajili wa mtoa Maudhui Mtandaoni kupungua kutoka 50,000 hadi 10000

Ada ya usajili wa mtoa Maudhui Mtandaoni kupungua kutoka 50,000 hadi 10000

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Akizungumza Bungeni Waziri wa Fedha amesema kuwa ili kupunguza ada za huduma za mauzo ya mtandaoni zinazotumiwa zaidi na vijana kama ifuatavyo:

A: Ada ya maombi ya leseni ya huduma ya mauzo mtandaoni kupungua kutoka shilingi elfu hamsini hadi shilingi elfu kumi.

B: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa ajili ya kuhuisha leseni ya huduma za mauzo mtandaoni kupunguzwa kutoka shilingi laki tano hadi shilingi elfu hamsini.

C: Ada ya maombi ya leseni ya mtengeneza mauzo mtandaoni kupunguzwa nayo kutoka shilingi laki moja hadi shilingi elfu ishirini.

Na D: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa ajili ya kuhuisha mtengeneza mauzo mtandaoni kupunguzwa kutoka shilingi milioni moja hadi shilingi laki moja.

Kwa upande wa Wizara ya Maliasili na Utalii, mheshimiwa..."
 
Back
Top Bottom