M Mawele Platinum Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,161 Reaction score 4,251 Jun 11, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Akizungumza Bungeni Waziri wa Fedha amesema kuwa ili kupunguza ada za huduma za mauzo ya mtandaoni zinazotumiwa zaidi na vijana kama ifuatavyo: A: Ada ya maombi ya leseni ya huduma ya mauzo mtandaoni kupungua kutoka shilingi elfu hamsini hadi shilingi elfu kumi. B: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa ajili ya kuhuisha leseni ya huduma za mauzo mtandaoni kupunguzwa kutoka shilingi laki tano hadi shilingi elfu hamsini. C: Ada ya maombi ya leseni ya mtengeneza mauzo mtandaoni kupunguzwa nayo kutoka shilingi laki moja hadi shilingi elfu ishirini. Na D: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa ajili ya kuhuisha mtengeneza mauzo mtandaoni kupunguzwa kutoka shilingi milioni moja hadi shilingi laki moja. Kwa upande wa Wizara ya Maliasili na Utalii, mheshimiwa..."
Your browser is not able to display this video. Akizungumza Bungeni Waziri wa Fedha amesema kuwa ili kupunguza ada za huduma za mauzo ya mtandaoni zinazotumiwa zaidi na vijana kama ifuatavyo: A: Ada ya maombi ya leseni ya huduma ya mauzo mtandaoni kupungua kutoka shilingi elfu hamsini hadi shilingi elfu kumi. B: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa ajili ya kuhuisha leseni ya huduma za mauzo mtandaoni kupunguzwa kutoka shilingi laki tano hadi shilingi elfu hamsini. C: Ada ya maombi ya leseni ya mtengeneza mauzo mtandaoni kupunguzwa nayo kutoka shilingi laki moja hadi shilingi elfu ishirini. Na D: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa ajili ya kuhuisha mtengeneza mauzo mtandaoni kupunguzwa kutoka shilingi milioni moja hadi shilingi laki moja. Kwa upande wa Wizara ya Maliasili na Utalii, mheshimiwa..."
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,987 Reaction score 27,554 Jun 11, 2026 #2 ni jambo jema kwa vijana wasishupaza shingo