Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

Bweni kayumba au bweni wapi🤔

Ada zinapandaje katikati ya mwaka?

Mama hajui baadhi ya wapinzani wake watarajiwa wa 2025 wengine kawapa jukumu lakuweka uchumi sawa sawa.
 
Reactions: nao
... mbona mnaongea vitu ambavyo in reality ni impossible?
Kwanini wewe enzi unasoma ulikuwa unakula shuleni? Ila kama shule iko dar hilo halikwepeki ila kama ni mkoani linawezekana maana shule nyingi ziko jirani mtoto ananyonga pedeli hadi shule bila wasiwasi
 
... hilo bweni linalipiwa hata kama lilishajengwa 10 yrs ago linalipiwa. Kitanda ni ghali kuliko usafiri kwa taarifa yako.
Mimi nimekushauri jinsi ya kupunguza cost
 
Nikimnunulia baiskeli na kama sitaki ale chakula cha shule itakuwaje?

Kumbuka walimu na wahudumu inabidi malipo yaongezeke kufidia mazila ya panda bei za jumla.

Pesa za kulipia kupanda bei huko kwingine nani atafidia?
 
Ukiwa na watoto wanne sekondari lazima uimbe huu wimbo "nobody can stop reggae cause reggae is strong"
Furaha inatoweka kabisa kwenye familia. Na wenye nazo angalau kidogo wanachukiwa bila sababu. Maovu na uhalifu pia yanaongezeka kwenye Jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…