Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

Kwanini wewe enzi unasoma ulikuwa unakula shuleni? Ila kama shule iko dar hilo halikwepeki ila kama ni mkoani linawezekana maana shule nyingi ziko jirani mtoto ananyonga pedeli hadi shule bila wasiwasi
Wee endelea tu kuringishia watu na mi jack daniels za offer na zakupewa. Utarogwa bure kumbe huna kitu. Nakufa kapuku wa kutupwa.
 
Ada zinapandaje katikati ya mwaka?

Mama hajui baadhi ya wapinzani wake watarajiwa wa 2025 wengine kawapa jukumu lakuweka uchumi sawa sawa.
Hata Mimi nimeshangaa. Ada zinapanda desemba
 
Mambo yanaenda mrama kila kukicha!
Mkuu siyo bongo tu hata nchi zilizoendelea. Leo nimeshuhudia foleni karibu kilomita mbili wanapogawa chakula cha bure. Zamani nikipata hapo foleni fupi Sana. Hali ni mbaya. Sasa nigger upite na ndinga kali mbele yao utatukanwa wazi wazi ni muuza madawa mkwepa kodi na utasikia tu sauti za nyati ilimradi wafarijike na wakuumize nafs.
 
Hata Mimi nimeshangaa. Ada zinapanda desemba

Sekta hii yaonesha haina regulator wala hakuna makubaliano ya ada ni kiasi gani kabla ya kuamua kuanza masomo.

Shamba rasmi la bibi.
 
Hivi kwa sababu nchi zilizoendelea maisha magumu basi nasi hatuna budi ku roll-over and take it?...Kuna watu watafanya udhalimu kwa utetezi wa kauli hiyo ulioandika.

Kila nchi inajukumu la kulinda maslai ya wananchi wake, inchi ikishidwa kufanya majukumu yake basi sio nchi tena.
 

Tatizo ni kuwa Mama anataka kuonyesha kafanya mengi kuliko wote waliomtangulia kwa kamua watu.

Kwanini bei za mafuta zisishuke? Mlolongo wa kodi zilizopo kwenye mafuta kwanini zisiahirishwe?

Pesa zinazokuja toka World Bank kwa ajili ya mdororo wa uchumi kwa nini zisifanye kazi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…