steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Kwa taarifa yako UD hawajawai kutoa ada za master na PHD kufuatana na km chuo cha umma, wanatoa undergraduate kama chuo cha umma lakini level zingine wanasema ni anasa ndiyo maana wanawakamua sana wanalalahoi.Nenda Mzumbe vodafasta so long as master zao zinatambuliwa hahahaha
Pamoja na hayo Mkuu huoni kuwa kwa kufanya hivyo wanatengeneza mazingira ya watu wenye uwezo wa juu kielimu na wenye nia ya kutumia kodi yao kama ruzuku ya kupunguziwa ada kama watanzania kuwa madaktari kukosa nafasi hiyo na ukizingatia kuwa hiki ndicho chuo kinachoaminika Afika Mashariki na Kati kwa elimu bora?