ada za udsm postgraduate na masters zapaa juu maradufu!

ada za udsm postgraduate na masters zapaa juu maradufu!

kiswahili ndio kigumu zaidi, MASTERS ni SHAHADA ya pili wakati POSTGRADUATE ni STASHAHADA YA UZAMILI.

acha uongo ww!!kwani shahada ya pili inatofauti gani na shahada ya uzamili(masters)?
 
Duh mkuu ukisema shahada ya uzamili ndo MASTERS yenyewe unaposema post graduate una maana shahada yoyote ya juu baada ya shahada ya kwanza inaweza kua post graduate diploma, masters au PhD ( Shahada ya Uzamivu ) labda wasomi wengine watatusaidia pia.

upo right mkuu!!watu wengi hutumia neno post graduate wakimaanisha post graduate diploma,mfano mtoa mada hapo juu alikua anazungumizia post graduate diploma na masters lkn yeye amesema post graduate na masters ilhali hata masters nayo ni postgraduate studies!

Post graduate studies ni masomo yanayofanywa baada ya kugraduate degree ya kwanza,yaweza kua post graduate diploma,masters (shahada ya uzamili/shahada ya pili) au PhD a.k.a shahada ya uzamivu!
 
Back
Top Bottom