Kwa taarifa yako UD hawajawai kutoa ada za master na PHD kufuatana na km chuo cha umma, wanatoa undergraduate kama chuo cha umma lakini level zingine wanasema ni anasa ndiyo maana wanawakamua sana wanalalahoi.Nenda Mzumbe vodafasta so long as master zao zinatambuliwa hahahaha
teh tena distance learning! maisha sio vyeti vya udsmWajanja tunasoma OUT na tunakula sahani moja mtaani kwani ud kitu gani.
Million 8 si bora nkasome Coventry au Strathclyde
kwa waliopata admissions za hizo post ada imepanda zaidi ya nusu ya iliyokuwepo kwa sasa post graduate ni 4400000 kwa mwaka na masters ni 8000000! Kaazi kweli!
Thubutu! jaribu uone, unazo Pauni 20,000/= kwa mwaka? Badilisha yawe madafu uone. Mbona Mzumbe ada ziko juu halafu hamlalami, ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga.
Unazungumzia Coventry halafu unabaki Arusha, shit! Kasome sasa huko. Unafikiri mimi siko exposed kiasi hicho, unamdanganya nani?Ujinga kama wako au vp? Nenda pale IFM ulizia ada ya Kusoma MSc. Strathclyde kama inafika pound 20,000 .. Coventry wanatoa Master yao kupitia AIA tawi la Arusha na Dar jumla kila kitu million 15 hapo na hostel nimepanga si kila mtu yuko less informed km kichwa chako.
Mkuu that is another "thinking within the box". Waache waendelee kushangaa na hizo ada wakati wenzao vyuo vingine wanachanja mbuga na mitaani watakuwa wote kwenye kula bata.Kwani chuo ni UD peke yake jamani, acheni kulalama
Unazungumzia Coventry halafu unabaki Arusha, shit! Kasome sasa huko. Unafikiri mimi siko exposed kiasi hicho, unamdanganya nani?
Pamoja na hayo Mkuu huoni kuwa kwa kufanya hivyo wanatengeneza mazingira ya watu wenye uwezo wa juu kielimu na wenye nia ya kutumia kodi yao kama ruzuku ya kupunguziwa ada kama watanzania kuwa madaktari kukosa nafasi hiyo na ukizingatia kuwa hiki ndicho chuo kinachoaminika Afika Mashariki na Kati kwa elimu bora?
tuition fee
1.pgd=fee ni kati ya tsh 3,250,000/= na 4,250,000/= inategemea ni course gani
2.masters (18 months) ni kati ya tsh 4,875,000/= na tsh 6,375,000/= depends on the course
3.masters (24 months) ni kati ya tsh 6,500,000/= na 8,500,000/= depends on the course
nina-admission ya master of arts in revenue law and administration (tsh 6,375,000/=) ni maeneo yapi mtu unaweza fit na kuitumia hiyo elimu apart from tra.
Unaweza anzisha tax firm (tax consultant firm) kwa kutumia cheti hicho?
Hiyo Africa Mashariki na kati waisema wewe,kwani uliambiwa ukisoma UD ndiyo ajira nje nje?Mbona kuna watu wamesoma vile vyuo ambavo majengo yake yalikuwa ya chekecchea na mengine ya secindari na mengine yalikuwa ya shirika la TANESCO sasa wana nafasi nzuri serikalini na kwenye mashirika ya maana.Siku hizi degree ni degree wala hawaangalii umeipatia wapi
Hiyo Africa Mashariki na kati waisema wewe,kwani uliambiwa ukisoma UD ndiyo ajira nje nje?Mbona kuna watu wamesoma vile vyuo ambavo majengo yake yalikuwa ya chekecchea na mengine ya secindari na mengine yalikuwa ya shirika la TANESCO sasa wana nafasi nzuri serikalini na kwenye mashirika ya maana.Siku hizi degree ni degree wala hawaangalii umeipatia wapi