Adai figo yake baada ya "kumwagwa" na My Wife Wake

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kama kuna watu ni kauzu basi huyu nimemkubali! Baada ya kuachana na mke wake kwa talaka hii Njemba imedai kuwa irejeshewe Figo ambayo aliitoa akawekewa aliyekua mke wake huyu.

Anasema jamaa anayemchukua basi yeye ndio ataoe figo....no free lunch!

 
Reactions: BAK
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe akili zenu zinafanana duniani kote[emoji134][emoji134]
Kilichokwenda kwa mganga hakirudi.
Hahahaha kwani wewe ni Me kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…