Adai figo yake baada ya "kumwagwa" na My Wife Wake

Adai figo yake baada ya "kumwagwa" na My Wife Wake

Ohooooo! kumekucha mrembo inabidi arudishe Figo ya watu. 😂😂😂😂
Alivyo mnafiki anaweza kujifanya kurudi kwa mshkaji. Ila mademu buana ni Actors wakubwa especially wanapokua na kitu wanataka kutoka kwako. Utaitwa kila jina refer Samson vs Dalilah
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
ihiiiii...neyo bhabehi abhanhu bhasala gete,wewe mtu unaanzaje kutoa kiungo chako kumpa mwingine,hio si kumwingilia MUNGU kweli?nose yagogelela goseka doho!!kikombe hiki kinipite mbali#obheja
Wabheja sana
 

Attachments

  • IMG-20200629-WA0045.jpg
    IMG-20200629-WA0045.jpg
    14.5 KB · Views: 1
Unampaje mwanamke figo kwanza! Mchizi kazingua parefu sana! Wakumpa ni mama yako,dada yako au mtoto yatima.

Huyo jamaa sio baharia kabisa,amewakosea heshima sana mabaharia wote,inaonekana kuwa havijui kabisa hivyo viumbe,havinaga garantii kabisa,havina shukrani na havijulikani vinataka nini,ndio maana mabaharia wanaamua kuwa makauzu tu
 
Back
Top Bottom