Adai figo yake baada ya "kumwagwa" na My Wife Wake

Adai figo yake baada ya "kumwagwa" na My Wife Wake

Na amini huyo mwanamke asingeweza kumtolea figo endapo ingekuwa huyo mwanaume ndio anaihitaji.

Jamaa akachukue tuu figo yake .
 
Ohooooo! kumekucha mrembo inabidi arudishe Figo ya watu. 😂😂😂😂

Kama kuna watu ni kauzu basi huyu nimemkubali! Baada ya kuachana na mke wake kwa talaka hii Njemba imedai kuwa irejeshewe Figo ambayo aliitoa akawekewa aliyekua mke wake huyu.

Anasema jamaa anayemchukua basi yeye ndio ataoe figo....no free lunch!

View attachment 1492587
 
ihiiiii...neyo bhabehi abhanhu bhasala gete,wewe mtu unaanzaje kutoa kiungo chako kumpa mwingine,hio si kumwingilia MUNGU kweli?nose yagogelela goseka doho!!kikombe hiki kinipite mbali#obheja
 
Back
Top Bottom