amewaogopa nisher na jelly mshala.naona madogo wanakuja vzuri sana.poa adam uamuzi mzuri.

Nisher yuko vizuri kasomea hiyo kazi ni first born wa Mh. Nabii, Geordavie
Amefanya vizuri kwenye industry ya muziki ila vile vile baadhi ya wasaa waliokataa kufanya nae kazi alikuwa anawapoonda sana na kuwakandamiza....
Hana lolote huyo Adam tatizo alishaanza kujiona bingwaa..yaani waswahili sijui tuna tatizo gani? Mtu akitoka kwe uhohehahe akafikia hatua ya ahueni anadhani kavuka kileleni..hakukufika bado hatua ya kuacha kazi hiyo..hii inaonesha ni jinsi gani tusivyokuwa makini na kazi zetu! Ndio maana afrika especially tanzania haitakuja tokea kampuni ya kudumu zaidi ya miaka hamsini sababu huwa tunakurupuka tu kuanzisha vitu.
amewaogopa nisher na jelly mshala.naona madogo wanakuja vzuri sana.poa adam uamuzi mzuri.
nisher hapana marangi kibao kama upo gizan kumbe unaangalia video, huyu jamaa anafanyiwa fitina tu ila anajua kwa east africa ukiwatoa ogopa inafata huyu jamaa sema kill award hawatambui umuhimu wake anatoa video bora ila utengenezaji bora anapewa kallage, au empty soulz
amewaogopa nisher na jelly mshala.naona madogo wanakuja vzuri sana.poa adam uamuzi mzuri.
watu wanakuja juu kumzidi..Nisher yes namkubali
Hana lolote huyo Adam tatizo alishaanza kujiona bingwaa..yaani waswahili sijui tuna tatizo gani? Mtu akitoka kwe uhohehahe akafikia hatua ya ahueni anadhani kavuka kileleni..hakukufika bado hatua ya kuacha kazi hiyo..hii inaonesha ni jinsi gani tusivyokuwa makini na kazi zetu! Ndio maana afrika especially tanzania haitakuja tokea kampuni ya kudumu zaidi ya miaka hamsini sababu huwa tunakurupuka tu kuanzisha vitu.
Tunahitaji kuacha utoto kwenye mambo ya msingi huku si Facebook! Adam Juma wa Visual Lab ndiye aliyeleta mapinduzi ya video za muziki Tanzania!
Tumpe heshima yake kwa kazi aliyoifanya kiasi cha kuvuta makampuni kibao kuingia ktk hiyo industry.Mapungufu yake yanafunikwa sana na jinsi alivyoongeza ubora wa video walau kutazamika ktk luninga hata za nje!
Kila lakheri Adam Juma lakini umekimbia sanaa mapema sana tukiwa bado nyuma kiubora kulinganisha na hata Kenya au Uganda!