Adam juma aamua kuacha kutengeneza videos

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
mtayarishaji na mmiliki wa kampuni ya visual lab Adam Juma ameamua kuachana na kutengeneza video za kibongo na kwa sasa amesema atajikita zaidi na NGO moja ambayo ata hivyo akuitaja.

Source: TIMES FM

MY TAKE:
Kila la heri adam katika maisha yako mapya hakika mchango wako autosaulika kirahisi katika tasnia ya sanaa hapa tanzania.
 
Ahamua- au aamua, autosaulika,au hautasahaulika?
Kiswahili hiki jamani,sijui ile lugha ya malkia itakuwaje
 
amewaogopa nisher na jelly mshala.naona madogo wanakuja vzuri sana.poa adam uamuzi mzuri.
 
Tunahitaji kuacha utoto kwenye mambo ya msingi huku si Facebook! Adam Juma wa Visual Lab ndiye aliyeleta mapinduzi ya video za muziki Tanzania!

Tumpe heshima yake kwa kazi aliyoifanya kiasi cha kuvuta makampuni kibao kuingia ktk hiyo industry.Mapungufu yake yanafunikwa sana na jinsi alivyoongeza ubora wa video walau kutazamika ktk luninga hata za nje!

Kila lakheri Adam Juma lakini umekimbia sanaa mapema sana tukiwa bado nyuma kiubora kulinganisha na hata Kenya au Uganda!
 
Nisher yuko vizuri kasomea hiyo kazi ni first born wa Mh. Nabii, Geordavie
 
Ahamua- au aamua, autosaulika,au hautasahaulika?
Kiswahili hiki jamani,sijui ile lugha ya malkia itakuwaje

mkuu kiswahili kigumu sana ila naamini ujumbe umefika lugha ya malkia najua ya kuwasiliana tu na si ya kujionyesha
 
Amefanya vizuri kwenye industry ya muziki ila vile vile baadhi ya wasaa waliokataa kufanya nae kazi alikuwa anawapoonda sana na kuwakandamiza....
 
Hana lolote huyo Adam tatizo alishaanza kujiona bingwaa..yaani waswahili sijui tuna tatizo gani? Mtu akitoka kwe uhohehahe akafikia hatua ya ahueni anadhani kavuka kileleni..hakukufika bado hatua ya kuacha kazi hiyo..hii inaonesha ni jinsi gani tusivyokuwa makini na kazi zetu! Ndio maana afrika especially tanzania haitakuja tokea kampuni ya kudumu zaidi ya miaka hamsini sababu huwa tunakurupuka tu kuanzisha vitu.
 
Wala hujakosea mkuu me kwa ujumla simfagilii kivile pamoja amebadilisha mziki hapa bongo but still alikuwa anaona yeye ata mudu kwenye ii Industry ya muziki,ila wadau hao hapo juu wamemsifia nadhani hawamjui huyu jamaa kiundani zaidi
 
Labda anataka kuingia kwenye filamu ambako nako mchango wake unahitajika.

Kiukweli namkubali sana jamaa na anaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye tasnia.
 
amewaogopa nisher na jelly mshala.naona madogo wanakuja vzuri sana.poa adam uamuzi mzuri.

nisher hapana marangi kibao kama upo gizan kumbe unaangalia video, huyu jamaa anafanyiwa fitina tu ila anajua kwa east africa ukiwatoa ogopa inafata huyu jamaa sema kill award hawatambui umuhimu wake anatoa video bora ila utengenezaji bora anapewa kallage, au empty soulz
 
ni kweli kabisa bongo fitina ila hao uliowataja hapo juu awamfikii hata chembe adam basi tu
 
amewaogopa nisher na jelly mshala.naona madogo wanakuja vzuri sana.poa adam uamuzi mzuri.

nisher bweege tu hafiki ata robo ya Adam..video zake hazifikii ata zile alizotengeneza Adam 2006
 
Hana lolote huyo Adam tatizo alishaanza kujiona bingwaa..yaani waswahili sijui tuna tatizo gani? Mtu akitoka kwe uhohehahe akafikia hatua ya ahueni anadhani kavuka kileleni..hakukufika bado hatua ya kuacha kazi hiyo..hii inaonesha ni jinsi gani tusivyokuwa makini na kazi zetu! Ndio maana afrika especially tanzania haitakuja tokea kampuni ya kudumu zaidi ya miaka hamsini sababu huwa tunakurupuka tu kuanzisha vitu.

Adam hakujiona yeye ndio bingwa ila kiukweri yeye ndio bingwa kwani miaka yote yupo na hakuna alowai kumpa shida.. ata kama humpendi haiondoi ubingwa wake..
 
Tunahitaji kuacha utoto kwenye mambo ya msingi huku si Facebook! Adam Juma wa Visual Lab ndiye aliyeleta mapinduzi ya video za muziki Tanzania!

Tumpe heshima yake kwa kazi aliyoifanya kiasi cha kuvuta makampuni kibao kuingia ktk hiyo industry.Mapungufu yake yanafunikwa sana na jinsi alivyoongeza ubora wa video walau kutazamika ktk luninga hata za nje!

Kila lakheri Adam Juma lakini umekimbia sanaa mapema sana tukiwa bado nyuma kiubora kulinganisha na hata Kenya au Uganda!

Huenda amefata ushauri wa baba yake Prof Shekh Juma Mikidadi,maana baba yake si muumini wa masuala ya anasa,miaka ya nyuma aliwah kuwa mbunge wa Kibiti kwa sasa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kiislam cha Morogoro(MuMu)kwenye masuala ya Islamic,
niliwah kusikia kuwa hata alichotakiwa kukisoma alipopelekwa USA sicho,akaamua kusoma hiki alichokua anakifanyia kazi(video producer),
 
Back
Top Bottom