Wala hujakosea mkuu me kwa ujumla simfagilii kivile pamoja amebadilisha mziki hapa bongo but still alikuwa anaona yeye ata mudu kwenye ii Industry ya muziki,ila wadau hao hapo juu wamemsifia nadhani hawamjui huyu jamaa kiundani zaidi
Hana lolote huyo Adam tatizo alishaanza kujiona bingwaa..yaani waswahili sijui tuna tatizo gani? Mtu akitoka kwe uhohehahe akafikia hatua ya ahueni anadhani kavuka kileleni..hakukufika bado hatua ya kuacha kazi hiyo..hii inaonesha ni jinsi gani tusivyokuwa makini na kazi zetu! Ndio maana afrika especially tanzania haitakuja tokea kampuni ya kudumu zaidi ya miaka hamsini sababu huwa tunakurupuka tu kuanzisha vitu.
Aende zake tu kulikuwa na 2eyez kina Tripod Media Benchmark zote zimepita.
Ahamua- au aamua, autosaulika,au hautasahaulika?
Kiswahili hiki jamani,sijui ile lugha ya malkia itakuwaje
nisher video zake zipo a bit darker.nadhan anahitaji kutuliza akili ktk color plugin anayouitumia.color collection technic ni zaidi ya pick n' drag.it needs to do with some advance adjustiment for each clip in a timeline.for adam the guy was very creative in script writting.tatizo lake ni ile color preset/signature yake ya kama udongo udongo mwekundu hivi.tokea nimfaham hakuwahi kuibadilisha thus got me tired to watch his videos.otherwise i'll always credit him as a bigtime pioneer of bongo videos.
wewe unaemjua kiundani alishawai kukulala? mwenzio anapiga project hadi za million 90 uko 80 wewe umekaa hapa unalialia kisa wivu wa kiswahili..
Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjingapokweli wewe...[/pole ,humu kuna wajinga sana
Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjinga kweli wewe...
Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjinga kweli wewe...
Pole,huyu mbwa kweli yani.Manzese utawajua tu
Tabia ya kushobokea wanaume wenzio utashikishwa sana ukuta kipapa wewe...