Adam juma aamua kuacha kutengeneza videos

Adam juma aamua kuacha kutengeneza videos

Wala hujakosea mkuu me kwa ujumla simfagilii kivile pamoja amebadilisha mziki hapa bongo but still alikuwa anaona yeye ata mudu kwenye ii Industry ya muziki,ila wadau hao hapo juu wamemsifia nadhani hawamjui huyu jamaa kiundani zaidi

wewe unaemjua kiundani alishawai kukulala? mwenzio anapiga project hadi za million 90 uko 80 wewe umekaa hapa unalialia kisa wivu wa kiswahili..
 
Hana lolote huyo Adam tatizo alishaanza kujiona bingwaa..yaani waswahili sijui tuna tatizo gani? Mtu akitoka kwe uhohehahe akafikia hatua ya ahueni anadhani kavuka kileleni..hakukufika bado hatua ya kuacha kazi hiyo..hii inaonesha ni jinsi gani tusivyokuwa makini na kazi zetu! Ndio maana afrika especially tanzania haitakuja tokea kampuni ya kudumu zaidi ya miaka hamsini sababu huwa tunakurupuka tu kuanzisha vitu.

kweli wewe enhe nadhan hat T.V labda huna kama mimi
 
Last edited by a moderator:
Aende zake tu kulikuwa na 2eyez kina Tripod Media Benchmark zote zimepita.

izo kampuni ulizotaja zote Adam ndio kazipeleka kaburini baada ya wateja wote wa maana kukimbilia kwake ivo ikabidi zisande..na kama kweli Adam kaacha game anaetaka kichupa cha maana inabidi aende Kenya au Uganda coz bongo bado hakuna..labda mdogo wangu Mecky wa Ngome Videoz akiboresha vifaa maana ana shoti tamu sana..
 
hivi wa bongo mtaacha majungu huyo nisher hata robo ya adam hajafikia video anajaza marangi rangi tu
 
nisher video zake zipo a bit darker.nadhan anahitaji kutuliza akili ktk color plugin anayouitumia.color collection technic ni zaidi ya pick n' drag.it needs to do with some advance adjustiment for each clip in a timeline.for adam the guy was very creative in script writting.tatizo lake ni ile color preset/signature yake ya kama udongo udongo mwekundu hivi.tokea nimfaham hakuwahi kuibadilisha thus got me tired to watch his videos.otherwise i'll always credit him as a bigtime pioneer of bongo videos.
 
thanx in advance for above arguements
 
wewe unaemjua kiundani alishawai kukulala? mwenzio anapiga project hadi za million 90 uko 80 wewe umekaa hapa unalialia kisa wivu wa kiswahili..

Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjinga kweli wewe...
 
Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjingapokweli wewe...[/pole ,humu kuna wajinga sana
 
Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjinga kweli wewe...

Pole,huyu mbwa kweli yani.Manzese utawajua tu
 
Mbwa kweli wewe kaa na angalia watu wa kuwajibu ujing.a wako dogo, unaona million 90 nyingi hizo au sio?acha ushamba mtoto stu,upid?usione kila mtu ana comment hapa ukaona basi yupo low au ana akili finyu kama zako....shwain nimuonee wivu kwa kipi zaidi alichonacho sasa mjinga kweli wewe...

wachimba chumvi kama wewe huwa nawafanyia shambulio la aibu,,,shukuru Shetani wako atuonani live.
 
Angalia lakini usije shikishwa wewe mbulula.unawashwa si ndio?

Mkuu wangu kamwa10 naona hutaki mchezo jamaa kaogopa kushikishwa ukuta:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom