matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Wala hujakosea mkuu me kwa ujumla simfagilii kivile pamoja amebadilisha mziki hapa bongo but still alikuwa anaona yeye ata mudu kwenye ii Industry ya muziki,ila wadau hao hapo juu wamemsifia nadhani hawamjui huyu jamaa kiundani zaidi
wewe unaemjua kiundani alishawai kukulala? mwenzio anapiga project hadi za million 90 uko 80 wewe umekaa hapa unalialia kisa wivu wa kiswahili..