Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Adam Mchomvu ni teja... Ni pusha... Siku akiachishwa kazi Clouds mtasikia kafa... Maana jamaa wenzake wote wana maendeleo yeye hadi leo anaishi kisela hana ffutu
Ni kwakua humjui ila unayosema Siyo kweli mchomvu anamaisha mazuri kajipanga sana labda kwakua kaamua kuweka maisha ya usela nje zaidi kuliko mambo yake binafsi ila wanaomjua huyo jamaa siyo mnyonge kimaisha hata kidogo mzee
 
Kwenda airport na Bodaboda siyo umasikin watu wengi wanaenda na bodaboda na wana cash ya kutosha maskini ukiwa na gari moja ndo unataka uende nalo kila sehem, Bodaboda inasaidia sana kukiwa na folen huwezi kukomaa na gari kwenye folen hadi uchelewe ndege wakati Kuna njia mbadala, lakin pia labda hakua na dereva wa kurudisha gari nyumbani sasa wewe ulitaka aje na gari lirudi na Nani?

Acha mawazo ya kimaskini kwamba kila mpanda Bodaboda hana maisha
 
Ni kwakua humjui ila unayosema Siyo kweli mchomvu anamaisha mazuri kajipanga sana labda kwakua kaamua kuweka maisha ya usela nje zaidi kuliko mambo yake binafsi ila wanaomjua huyo jamaa siyo mnyonge kimaisha hata kidogo mzee
Brother Lucha unamuongelea Adam mchomvu yupi? Au huyu wa clouds anayegombana kila siku na wenye nyumba kuhusu kulipa Kodi au?
 
Na hawa wanasheria majina sijui wanayapata wapi Cosmic Attorneys.
 
Imagine wapo on air then anaropoka "we adam si kila siku unalalamika mama brandon anakusumbua humuelewi unataka msaada(wa kiganga)". Adam akamwambia nakuzimia mic coz unaattack my family, hata kennedy alimmind chila basi tu hana nguvu ila wangemchangia.
 
Unajua binadam wengi huwa wana tabia kama ya Qchilla, wanaanza kukuchokoza wao unapowatia adabu wanakaa kinyonge Kama vile hawana hatia ili huruma iwe upande wao lakin kiuhalisia ubaya wanauanza wenyewe jamaa alimkashfu Adam kuhusu familia yake, Adam kumfundisha adabu kidogo malalamiko kaanza yeye ambae ndo aliuanzisha ugomvi na hayasemi makosa yake
 
Sijasema alichofanyiwa ni kizuri, ila na yeye ajifunze kuwa mstaarabu unapokuwa kwenye kipindi pale ni business tu masihara mengine utafanya baadae
Unaanza vizuri lakini unaendelea kusapoti alichofanyiwa.

Kwa nini usingemshauri Mchomvu kuchukua hatua kama anazochukuliwa sasa kwa alichofanyiwa?

Kosa halisahihishi kosa la awali kama unavyodhani. Tupinge kwa nguvu zote kujitwalia maamuzi ama sheria mkononi

Mchomvu anastahili karipio la kisheria kwa vikwazo vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…