Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Imagine wapo on air then anaropoka "we adam si kila siku unalalamika mama brandon anakusumbua humuelewi unataka msaada(wa kiganga)". Adam akamwambia nakuzimia mic coz unaattack my family, hata kennedy alimmind chila basi tu hana nguvu ila wangemchangia.
Qchief na chid benz yataka moyo sana kuwavumilia
 
Adamu mchomvu kuinusa jela kisa kumpiga Q chief

Hii inakuja baada ya muda mfupi Q chief kufunguka mengi.. March 1 2023 Q chief akiwa anarealz Ep yake kwenye kituo cha Radio cha clouds kwenye kipindi cha Xxl Ndipo aliyoweza pokea makonde kutoka kwa mtangazaji huyo
Adam Mchomvu....

Adam mchomvu sio mara ya kwanza kutembeza vichapo mix mitamba maana hata somebody' mbacha nae ashawai kupokea kichapo toka kwa Mchomvu.

Basi kwakuwa pambano anaziweza mchomvu.. mandoga yuko kazini tuandae pambano la uhakika ili tukaone ubabe wake.
 
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.

Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.

Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,

View attachment 2551144View attachment 2551145

Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.

Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.

Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!

Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.

Mbasha ule mpunga ilibidi aupate tuu alimfanyia jamaa shambulio la aibu 😂

Ushauri
Wasiwe wanam provoke mchomvu jamaa yupo easily triggered plus HIZO MALIPS ZA KUSH simaanishi anachoma though.
 
Adamu mchomvu kuinusa jela kisa kumpiga Q chief

Hii inakuja baada ya muda mfupi Q chief kufunguka mengi.. March 1 2023 Q chief akiwa anarealz Ep yake kwenye kituo cha Radio cha clouds kwenye kipindi cha Xxl Ndipo aliyoweza pokea makonde kutoka kwa mtangazaji huyo
Adam Mchomvu....

Adam mchomvu sio mara ya kwanza kutembeza vichapo mix mitamba maana hata somebody' mbacha nae ashawai kupokea kichapo toka kwa Mchomvu.

Basi kwakuwa pambano anaziweza mchomvu.. mandoga yuko kazini tuandae pambano la uhakika ili tukaone ubabe wake.

Watz kwa umbea mnaongoza
 
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.

Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.

Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,

View attachment 2551144View attachment 2551145

Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.

Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.

Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!

Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.

Hachukuliwi hatua kwa kuwa ni wao (wachapwa makonde) ndio wanamchokoza Mchomvu bila shaka.
 
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.

Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.

Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,

View attachment 2551144MView attachment 2551145

Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.

Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.

Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!

Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.

Clouds Media ni genge la wahuni waliojiajiri. Kwanini wamfukuze mwenzao?
 
Back
Top Bottom