Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.

Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.




 
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza[emoji16][emoji16][emoji16]
Watakuwa wanabodi lao hao tangu kitambo tu
 
[emoji23][emoji23]ule mtama alochotwa ilikua zaidi ya tanganyika jerk
[emoji16][emoji16][emoji16] mi kwa ule mtama mbele za watu nisinge kubali mkuu lazima ningerusha ngumi tu hata kama magu ana angalia vita ya 3 ingetokea pale ila mbasha ni mpole sana Dah mtama kama ule mi ninge rudi kumvaa Adamu tudondoke wote chini ya jukwaa kama Wwe vile.
 
Wakuuu huko Uwanja Wa taifa wasaniii wamezichapa live bila chenga baada Ya mbasha kumwiiita mchovu kuwa anavuta bangi.

Hakika kuna kitu hapa walioandaa hilo tamasha watakuwa wamejifunza kuwa wanachokifanya kinamchukiza MUNGU, watu kupigana live wakiwa wanatazamwa kwenye TV zaidi ya tano ni Aibu kubwa na hiii ni ishara Fulani kuwa MUNGU hayupo upande wenu na huenda mkakutwa na majanga zaidi.
 
Back
Top Bottom