upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Ni sahihi kabisa.Ukiwafanya watu wawe masikini kimakusudi kwa kuwasomesha namba Ni lzm watakuabudu ili wasife njaa ndo wafanyavo madikteta na makomunist wote duniani.Waliangalia tumbo la siku moja na sio kwa mapenzi yao