Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
haya ndio madhara ya kufanya mambo yasiyoendana na umri
Kuna baadhi ya watangazaji wa vipindi vya muziki wa kizazi kipya hawataki kukubali kuwa umri umewatupa mkono wanalazimisha mambo haya sasa matokeo yake ukitaniwa kidogo tu unahamaki kwakua kwa umri wako utani wa aina hiyo ni kashfa ila kama ingekuwa kijana wa miaka 25 kaambiwa mibange angeishia kucheka tu kwani kwa umri wake bado ana room ya kudeal na masihara masihara.
Ni muhimu sasa wakongwe watafute kazi nyingine waachie ajira kwa vijana, mambo ya vijana wafanye vijana.
Sasa kama ana brand ya 20 years si adundulize salary ajiajiri , hiyo brand yake imuingizie kipato.