Adam Mchomvu anakula unga?

Bangi sana yule ndo shida yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamnazo huyo.Toka awajambie Fetty na dozen studio ndio nikajua huyu star times no signal la ziada anakula bangi kama koboko.
 
Huyo mzee ni mental wakati mwingine na hiyo yote ni kujiamini kupitiliza ambapo kumetokana na kazi anayofanya hivyo anashindwa kutofautisha life lake na kazi yake huenda akawa ameshaanza hayo matumizi ya unga kwani hata watu wake wengi wa karibu ni watumiaji wazuri tu hiyo kitu ila wanatupoteza maboya kuwa wanakula kaya sana ila sikweli wengi ni majunki ya poda...
 
TUFANYE ANAKULA UNGA, WEWE INAKUATHIRI VIPI?
 
"Adam we Ni bangi sana" kilichofuata Mbasha anajua.
Kuna wakati nadhani niliwasikia wanasema Yeye huwa pia anaendesha taxi mtandao hivyo abiria anayetaka atahudumiwa nae.

Nikaguna "Mmmh" hiri si ndio rire rijamaa renye stairi yake ya kurinda brandi......sasa nipo Garini mara apaki Gari pembeni aanze kunitandika mabuti ya kichwa na mgongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…