Adam Mchomvu anakula unga?

Adam Mchomvu anakula unga?

Bangi sana yule ndo shida yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamnazo huyo.Toka awajambie Fetty na dozen studio ndio nikajua huyu star times no signal la ziada anakula bangi kama koboko.
 
Huyo mzee ni mental wakati mwingine na hiyo yote ni kujiamini kupitiliza ambapo kumetokana na kazi anayofanya hivyo anashindwa kutofautisha life lake na kazi yake huenda akawa ameshaanza hayo matumizi ya unga kwani hata watu wake wengi wa karibu ni watumiaji wazuri tu hiyo kitu ila wanatupoteza maboya kuwa wanakula kaya sana ila sikweli wengi ni majunki ya poda...
 
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!

Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni!

Yaani jinsi jamaa anavyoongea na anavyojibu maswali anayoulizwa ni tofauti kabisa, na ni kama analegeza sana sauti kama mtu ambaye yupo high sana dizaini kama katumia kilevi (anasikika kama mla unga maana anaslein sana lugha) mpaka nimejiulza huyu jamaa leo vipi?

Na katika moja ya maneno yake anamwambia Meena Ally "Will you marry me?" Wakati Meena kamuulza swali la kuhusu Fiesta!

Nimeamua nije kwenu wadau na swali hili kufahamu kama ni kweli huyu jamaa anakula poda a.k.a sembe!

Naomba kuwasilisha.
TUFANYE ANAKULA UNGA, WEWE INAKUATHIRI VIPI?
 
"Adam we Ni bangi sana" kilichofuata Mbasha anajua.
Kuna wakati nadhani niliwasikia wanasema Yeye huwa pia anaendesha taxi mtandao hivyo abiria anayetaka atahudumiwa nae.

Nikaguna "Mmmh" hiri si ndio rire rijamaa renye stairi yake ya kurinda brandi......sasa nipo Garini mara apaki Gari pembeni aanze kunitandika mabuti ya kichwa na mgongo.
 
Back
Top Bottom