Adam Mchomvu anakula unga?

Adam Mchomvu anakula unga?

Mwanangikolo

Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
63
Reaction score
105
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!

Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni!

Yaani jinsi jamaa anavyoongea na anavyojibu maswali anayoulizwa ni tofauti kabisa, na ni kama analegeza sana sauti kama mtu ambaye yupo high sana dizaini kama katumia kilevi (anasikika kama mla unga maana anaslein sana lugha) mpaka nimejiulza huyu jamaa leo vipi?

Na katika moja ya maneno yake anamwambia Meena Ally "Will you marry me?" Wakati Meena kamuulza swali la kuhusu Fiesta!

Nimeamua nije kwenu wadau na swali hili kufahamu kama ni kweli huyu jamaa anakula poda a.k.a sembe!

Naomba kuwasilisha.
 
Jamaa ni comedian hatumii hivyo vitu labda mjani.
 
Adam naona siku hizi kabadilika kidogo,alikuwa na usela mwingi anavaa mlegezo,anabeba vipima joto hachani nywere....yaani ni vuru vuru huyu kijana ....nikawa namsema kwenye ukurasa wao Wa Clouds,Jamaa akawa anifata inbox ananipa matusi ya kufa mtu....ndo nikajua huyu kijana kichwani kwake Kuna kitu hakiko sawaaa.
 
Acha shobo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]labda kashakuelewa
 
Adam Mchomvu ni mpumbavu mmoja hivi anaehisi ni sifa kujifanya msela mavi.
Alishawahi kupost picha mikamasi ikimvuja, alishawahi toa ushuzi akiwa hewani (hii inamaanisha zaidi ya mihadarati itakuwa punga pia).
Kwa kifupi ni kijana mmoja wa hovyo anaejikuta maarufu kwa kupitia upumbavu.
 
Back
Top Bottom