Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

Mibange ilishamharibu medula o'blangata siku nyingi huyu, ndio maana hajielewi na ccm ndio watu inaowataka.
 
Cloud yenyewe siku hizo hawakuhamasisha ile kitu ya jahazi kweli? kwani nao ni walevi na mibange juu.
 
Kuomba radhi ni uungwana mkubwa sana.KILICHONISTUA ni kutajwa kwa IGP (Inspecta Jenerali wa Polisi).Jambo dogo la wasanii kukwazana jukwaani limefika kwa IGP na IGP kalitolea maelekezo.IGP huyu yupo kimya watu wanaozea vituo vya Police kwa makosa yenye kudhaminika.Hili ameliingilia haraka kwa kuwa linahusu vijana wa CCM.Ndugu zanguni nchi tunaibomoa kwa mikono yetu wenyewe.
 
Hahaha!!! Kama sio fani yako kwakweli utaumbuka/

Utampunguzia nani midhambi isiyo hesabiki ushakaba,Ushaiba na Ushauwa/

Njisi kijana anavyobadili tabia/
Inavyoonekana amesahau Mila za Mtanzania/


What'sup Sir Nature...
Nakushangaa kijana uishivyo Kama kuku
 
Lile lilikuwa tamasha la wasanii. Wasanii wengi bongo muziki ni vijana na hizo ndio lugha zao vijana, bangi sana wewe'. Sikuona haja ya watu kuwashangaa vijana kwa matumizi ya lugha za vijana.
 
Mchomvu kapigwa mkwara na "GESHI RA PORISI".
 
Hivi ingekua ni Dudubaya ndio kamuita hivyo huyo Adam,angempiga hicho kiteke chake cha kuvizia kwa nyuma? Ile stage ingegeuka kua ulingo wa ngumi aisee!

😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…