Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

Mimi nilikuwa na mawazo kama yako mwanzoni ila nilikuja kupigwa na askari fulani pale mtwara anaitwa Alex yule fala anaijua karate balaa baadae nilipokuja kufuatlia kumbe ana mkanda wa karate ila shida nilijiamini kupitiliza nikajiona hakuna kama mimi kwenye suala la martial arts
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Mkuu kwa hiyo ulipigwa kama ngoma.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa mikoani Bado Wana ushamba wa kijinga sana. Wote wawili ni washamba washamba.
 
Back
Top Bottom