Adam Mchomvu na Fetty, safi sana!

wapi walidiss mzee, unaushahidi? Jide alianza kulialia mtandaoni baada ya aliyekuwa 'mke wake' Gadna kutoka Cloudz na kupungua kwa promo aliyoizoea kila siku kwenye kipindi cha Jahazi

Mke wake=Mume wake!
 
Nawe unayako juu ya Chibu.

Jide amefungiwa kutotambulika nje ya nchi?

Redio ni moja nchini? Au wanazuia mtu kujipa promo nje ya nchi?

Watanzania halisi tunasapoti watanzania wote na wanaopiga kazi na sio kusubiri maneno kuwafufua kama wamefulia.

Haya waache wanaotupeperushia bendera yetu Africa kwa sasa na duniani macho yote yatakuwa kule
 
Nazan imefika mahali watanzania wote kwa Ujumla Tubadilike kuanzia Alik na Diamond wao wenyew kwa wenyew ili kutuwek Mashabik saw wafanye kitu kitakachofanya Mashabik waungane na Kuona hakuna Tofauti yeyote kati yao.....

Nyie mashabiki ndio mjitambue,kwani ilo linatakiwa mpaka Kiba akuambie kuthamini vya nyumbani
 
Nazan imefika mahali watanzania wote kwa Ujumla Tubadilike kuanzia Alik na Diamond wao wenyew kwa wenyew ili kutuwek Mashabik saw wafanye kitu kitakachofanya Mashabik waungane na Kuona hakuna Tofauti yeyote kati yao.....

Wakiweka wazi kuwa hawana bifu ndo utakuwa mwisho wa Kiba, acha timu zichuane. Ngoja niende kwa misukule kule kwa ma ex wa Dai nikaone uharo wao.
 
Niliwahi kuandika baada ya kumuona Kiba kwenye mkasi....jamaa ana kikorosho na usoni mwake anaonyesha kabisa...na hata kama ni kushauriwa itakuwa rahisi kwa Diamond kuliko Kiba.

Na sasa amewaefluence Wema na Jokate kwa makusudi...na unajua demu ukimpa "peremende" atafanya unavyotaka.

Na aliwahi kutuhumiwa na TID, kutaka kumdanjisha.....then akatajwa ishu ya Lulu na Marehemu Kanumba....jamaa sio kabisa, anatakiwa kujirekebisha.
 
Wakiweka wazi kuwa hawana bifu ndo utakuwa mwisho wa Kiba, acha timu zichuane. Ngoja niende kwa misukule kule kwa ma ex wa Dai nikaone uharo wao.

yes kiba hawezi kukubali kupatana kirahisi, anajua bila hili bifu asingekuwapo hapa alipo angekuwa ashasahaulika. hili bifu ni faida kwake, na ni hasara kwa diamond
 
yes kiba hawezi kukubali kupatana kirahisi, anajua bila hili bifu asingekuwapo hapa alipo angekuwa ashasahaulika. hili bifu ni faida kwake, na ni hasara kwa diamond

Alikuambia au unabashiri?
 
Nilisoma eti esma alimfuma petit anagegeda sebleni kwa mheshimiwa mbunge
 
kwa bahati mbaya leo nimekuquote
 
wapi walidiss mzee, unaushahidi? Jide alianza kulialia mtandaoni baada ya aliyekuwa 'mke wake' Gadna kutoka Cloudz na kupungua kwa promo aliyoizoea kila siku kwenye kipindi cha Jahazi

anyhow, all in all point ni wao kutenda kile wanachohubiri. kama ni kukosa uzalendo wameanza wao
 
Wakiweka wazi kuwa hawana bifu ndo utakuwa mwisho wa Kiba, acha timu zichuane. Ngoja niende kwa misukule kule kwa ma ex wa Dai nikaone uharo wao.

tuombe radhi yani cc nimisekule team kiba na wote ni wanawake #kebekebe
 
nimeshawahi ielezea hii nashukuru umeweka video hamna atakayekuja kujibu kwa hoja na kama kuna atakayekuja kutetea niite nione utetezi wake kiba roho inauma
 
Mwisho wa Ubaya ni Aibu Mkuu!
 
yes kiba hawezi kukubali kupatana kirahisi, anajua bila hili bifu asingekuwapo hapa alipo angekuwa ashasahaulika. hili bifu ni faida kwake, na ni hasara kwa diamond

kumbe na ww ndo walewale sasa kiba na diamond nani alianza kutoka mpaka yy kiba anufaike na hilo #Kebekebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…