Yes oo ila dada wa Platnumz na wema ukaribu umekufa sijui alifuma nini dada wa watu... Na wivu pia juu kwa dada kwa kuwa karibu na Zari wifi yake.
Hizi kazi za waume kufanya masaa 24 na mwanamke asie na bwana ni kazi....maana kila kona hao hata kupeleka mbwa vet hao, kunywa hao, kula nje hao, safari hao pamoja mke anabaki ka vike hakuolewa.
Sijui sasa nadhani petit amejirekebisha kiaina maana buti lilimuanza kumkwea kabla mamaa hajajifungua.
Aaagh ni mengi tunasoma wengine mitandaoni burudani tunacheka hatuzeeki, napita.