Adam Mchomvu na Fetty, safi sana!

hahaha nikunote umekuwa celeb kama wema a.k.a mbunge ajaye (najua hupendi kusikia ubunge wa madame ila itabidi uvumilie tu)... kujijua najijua sana tu manake binadam yeyote bila kujijua basi hajakamilika. bye for this year..

Lmao

ID ya pili
 
Screenshot yenyewe umeichukua udakuspecially atleast ungeichukua kwenye official account yake.
Blogs hazina tofauti na magazeti ya shigongo story nyingi ni za kutunga
 
Aliekodi wavuta unga na kuwalipa efu Tano Tano wamzomee Mond ni Kiba..Ila malipo ni apa apa duniani.Dai hata haongei Ila Huyo mswahili kiba anashusha maneno ya kejeli Yaani cjui kiburi cha kulijinganisha na Dai katoa wapi uyu dogo
 
Screenshot yenyewe umeichukua udakuspecially atleast ungeichukua kwenye official account yake.
Blogs hazina tofauti na magazeti ya shigongo story nyingi ni za kutunga

Haya haya mkuu,naona umerequest screenshot ya account ya mondi na sio iyo...basi usipate tabu me nakuletea soon maana device yangu ina screenshots nyingi tu.
 
Screenshot yenyewe umeichukua udakuspecially atleast ungeichukua kwenye official account yake.
Blogs hazina tofauti na magazeti ya shigongo story nyingi ni za kutunga

Haya sasa mkuu mzigo huo,hiyo account yake ya Twitter.
 
Twitter huwezi kuandika tweet ndefu ivo ...ni characters 140 tu . na pia account ya diamond twitter iko verified .... Hii haiko verified
 
Twitter huwezi kuandika tweet ndefu ivo ...ni characters 140 tu . na pia account ya diamond twitter iko verified .... Hii haiko verified

Dah!..nyinyi watu wa ajabu sana mkiletewa ishu ya Mondi kaaribu mnataka proof msipoletewa mnakataa hajafanya ivyo na mnaishia kusema uyo ni shigongo tu hamna ukweli apo sawa mimi sikatai lakini nyinyi juzi mmefungua Uzi fasta kuhusu kiba kusema ishu ya kichefuchefu kwa mondi mkiwa mmeshupalia kabisa wakati iyo habari ni ya GPL pia ambayo mmekataa kuwaamini kwa Mondi lakini kwa kiba mnawaamini bila tatizo,bora Mimi nimeletea screenshot na bado hamkubali wakati nyinyi iyo juzi mlileta habari tupu bila proof yoyote na mkawa mmeshupalia live bila chenga,nimeleta na iyo ya screenshot ya account ya Mondi bado mnakataa..eti "Ooh! mbona haipo verified?...sasa kama mnajielewa angalieni iyo date ya iyo post alafu ndo mjibu maana kipindi anapost iyo account yake ilikuwa bado haijawa verified na ndo ilikuwa na profile photo iyo hapo mnayoona na siyo ile aliyoweka saivi,tatizo lenu team Mondi ni hapo hamtaki kusikia baya la Mondi kana kwamba yeye ni saint one...lakini mkipata baya la kiba tu tena source:GPL mnashupalia sana wakati nyinyi hamuwaamini kwa habari za mtu wenu,lastly najua hilo hamuwezi kukubali lakini lilitokea na mpaka BobJunior alimwambia aombe msamaha kwa kauli yake iyo maana kiba hakumfanya lolote...but as long as it's ur nature to abuse the truth...then u won't believe that!!!
 
Haya sasa mkuu mzigo huo,hiyo account yake ya Twitter.

Hapo kwenye picha chini huo weupe weupe unapita imekuwaje?

Huu ulikuwa uongo, hao vicobo walitumia jina lake kujipaisha...
 
Haya sasa mkuu mzigo huo,hiyo account yake ya Twitter.

Jibu hoja, umewahi kuona wapi twitter ina character zaidi ya 140 unadhani insta ile? Sikunyingine mnapofikiria kuedit muwe mnatumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…