Wewe embu acha kudanganya watu kabla ya izo interview unazosema,Mondi wenu ndo alianza chokochoko ka mwanamke tena kwa mtu ambaye alitulia kwenye game na hakumfanya chochote,check hapo chini iyo screenshot ya uyo Mondi wenu akileta dharau zake na iyo ndio sababu iliyopelekea apigwe na MAYAI VIZA ile siku aliyopiga show pale MAISHA CLUB na vijana wa k.koo(kambi ya kiba) tena iyo ilikuwa kabla haja hit nje ya TZ,check mwenyewe hapo chini...na mjue kabisa kiba anapambana na mtu ambaye alirequest battle naye na sio kama mnavyosema nyie eti "Ooh!.. KIBA anashindana na mtu ambaye hajamfanya chochote kwa kumuangalia Mondi huwa hamuongeleagi kiba saivi so mnamuona ni completely innocent kumbe alishatemaga shit huko mwanzoni,eti anasema "kiba haniwezi kipesa wala kimuziki pia ameisha mziki wake hauna soko tena"...Nasema hapa tena kwa herufi kubwa "HII NDIO SABABU ILIYOMFANYA KIBA ARUDI KWENYE GAME KUMPROVE WRONG MONDI".. alilianzisha menyewe alamfu mnasema KIBA ndo chanzo kivip?.. weka proof apo,maana mbali na anachokisema kiba kuhusu hiyo kufutwa kwa mistari yake lakini MONDI ameleta dharau nyingi tu,sasa kulikua na haja gani ya yeye kuropoka hayo yote hata kama kiba hakutaka kufanya collabo nae?...kwani lazima?...na kiba alikuwa na haki yakukataa kuimba naye maana MONDI angeibua KAULI kama "MIMI NDO NIMEMWINUA KIBA" maana kijana wenu anapenda sana sifa kama kipindi Kile alivyosemaga kaalikwa na P-SQUARE Kwenye harusi yao alafu baadae P-SQUARE wakakana kumualika wala kumjua mtu inaitwa diamond,na hata kama ni kweli kiba alikopa pesa ili ajenge nyumba yake(inamaana kumbe kiba anayo nyumba sio kama team Mondi mlivyozusha kuwa hana nyumba amepanga hili mkubali kwanza?) Yeye ilimuhusu nini kama sio umbea tena kwa mwanaume kama yeye?,KWA HIYO MTAMBUE YEYE NDO AMELIANZISHA HILO BIFU NA SIO KAMA MNAVYODHANI ETI KIBA HAWEZI TOKA BILA MONDI NA ANATAFUTA KIKI TUU KUPITIA MONDI...Hahaahaaa!!!!!