Adam mchomvu nae amekuwa msanii siku hizi au ndio kubeba na kwa office?

Adam mchomvu nae amekuwa msanii siku hizi au ndio kubeba na kwa office?

Mchomvu anatambulishwa zaidi na kipaji cha utangazaji na sio usanii, kuhusu utangazaji, hawezi kuhandle kipindi kama main host, anashine anapokuwa supporting host. Ni mtazamo tu
 
Mchomvu anatambulishwa zaidi na kipaji cha utangazaji na sio usanii, kuhusu utangazaji, hawezi kuhandle kipindi kama main host, anashine anapokuwa supporting host. Ni mtazamo tu
hii kweli mkuu nakumbuka kipindi chake cha bongo fleva kilikuwa hakina mvuto sana cjui swaga zinazidi sana kwel too. much of everything is harmful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adam ni mwanamziki katuni yaani hapo kama msanii na pia mchekeshaji
 
Khaa katuimbisha John John yes papaaa, Mara Bwana Shamba had a farm khaaa utadhan sisi n kindergarten [HASHTAG]#fiestachuga[/HASHTAG]
 
Yuko vizuri kwenye flow ila lyrics bado, kama vipi atafute mtu wa kumuandikia
 
Mbona tunapishana siku hizi kwema lkn
Kwema bibie Wang
Hata me nashindwa
Kuelewa shetan

Gan kapita katikat
Yetu anataka kuharbu
Apple letu

Triple A
 
7e58e9bc649c5fa6191cf286ec6393a7.jpg

Triple A
hajui kuimba ila ni msanii
 
Ana rap vizuri... ila mwonekano wake ni wa kibangibangi duuh!
 
Adam ni mtaalamu wa free styles km akina gwea,fid nk! Namkubali ila apunguze uchizi mwingi!
 
Back
Top Bottom