EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 3,781 Reaction score 12,091 Aug 18, 2020 #41 Adam alishawahi kumjambia Dj Fetty wakiwa studio .Bure kabisa.
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Aug 18, 2020 #42 Wanasema baadae Adam alipokutana na Mbasha akawa analalamika kwa nini alimuita bange...Mbasha akamwambia sorry Kaka sikujua kama hutumii hiyo kitu.
Wanasema baadae Adam alipokutana na Mbasha akawa analalamika kwa nini alimuita bange...Mbasha akamwambia sorry Kaka sikujua kama hutumii hiyo kitu.
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Aug 18, 2020 #43 May Day said: Wanasema baadae Adam alipokutana na Mbasha akawa analalamika kwa nini alimuita bange...Mbasha akamwambia sorry Kaka sikujua kama hutumii hiyo kitu. Click to expand... Alisema analinda brandi, kwa hiyo anaamini kuwa wanaompa kazi huwa hawajui kama anatumia hizo mambo, hivyo alighafilika kuona kuwa Mbasha anamchongea.
May Day said: Wanasema baadae Adam alipokutana na Mbasha akawa analalamika kwa nini alimuita bange...Mbasha akamwambia sorry Kaka sikujua kama hutumii hiyo kitu. Click to expand... Alisema analinda brandi, kwa hiyo anaamini kuwa wanaompa kazi huwa hawajui kama anatumia hizo mambo, hivyo alighafilika kuona kuwa Mbasha anamchongea.