Adam Mchomvu ni mzoefu wa matukio ya aibu mbele ya live event ushahidi huu hapa

Adam alishawahi kumjambia Dj Fetty wakiwa studio .Bure kabisa.
 
Wanasema baadae Adam alipokutana na Mbasha akawa analalamika kwa nini alimuita bange...Mbasha akamwambia sorry Kaka sikujua kama hutumii hiyo kitu.
 
Alisema analinda brandi, kwa hiyo anaamini kuwa wanaompa kazi huwa hawajui kama anatumia hizo mambo, hivyo alighafilika kuona kuwa Mbasha anamchongea.
 
Back
Top Bottom