Hahaha. Ndio.
Dr Leakey na Merry Leakey walipata mifupa katika tabaka la 4 la udongo ambalo ndio tabaka la chini kabisa katika miamba ya Olduvai. Kupitia Potassium dating tabaka hilo linakadiriwa kuwa na miaka zaidi ya milioni 1.8.
Na mifupa ilikutwa na mawe yaliyochongwa na mifupa ya wanyama kama swala na wanyama waliowindwa. Mifupa ya wanyama ilikuwa na alama za kukatwa kwa mawe na meno.
Sasa sijui ndio kina kaini, adamu au hawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vitu vingine bhana. Vinachanganya sana. Kama Watanzania walikwepo tangu kale sasa mbona mpaka leo hawajaendelea? Wanajua uchawi na visingeli tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]