Bakema
Senior Member
- Jul 13, 2011
- 140
- 129
Ha ha haaaaaaawakwanza kivipi funguka ndugu! Ishu ya masokwe haina mashiko mbona yalikuepo tangu zaman na mpaka sasa hayajabadika ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaaaaawakwanza kivipi funguka ndugu! Ishu ya masokwe haina mashiko mbona yalikuepo tangu zaman na mpaka sasa hayajabadika ?
Ndugu wanasema kaini alimuua abeliinakuwa vigumu sana huu mjadala kupata muafaka, wakati mleta mada mwenyewe ameitoa hewani na kuanza kutoamini kuwa Adamu hakuwa mwanadamu wa kwanza, ilitakiwa mleta uzi atwambie kuwa "kweli sikubaliani kuwa Adamu alikuwa binadamu wa kwanza" kutokana na sababu moja,mbili au zaidi, na source yangu ni hii, hapo ungefanya watu waumize vichwa kupinga, ila hadi sasa naona kama mleta mada kazidiwa maana wengine wamekuja na habari ya evolution- alikuwa sokwe,wengine biblia kuwa alikuwa Adamu jambo ambalo hata mleta mada anakubaliana nalo kuwa mwanadamu asili yake ni Mungu, ila anachopinga ni kuwa hakuumbwa peke yake siku ya sita ila waliumbwa wengi sana - jambo ambalo si la ukweli ukitumia rejea ya biblia,mleta mada anajikinzana mwenyewe
We kwa macho au masikio yako ni lini ulisikia sokwe kabadilika kawa binadamu na sasa anaitwa fulani? Mkuu zile ni story kama sungura na fisi kisha sungura akasema. Basiaaaa naona natwangwa maji kwenye kinu hapa, eti fikiri! We ndo ufikiri, naona hujui moja kuhusu theories za human revolution.
Kwa maana yako Nuhu ni mtoto wa adamu?QURAN inasema zimepita zama nyingi sana ulimwenguni hakukuwa na kiumbe binaadamu ,hii dunia ilikuwa na viumbe wengine wasiokuwa binaadamu inasema hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini baada ya kuona majini wanapigana na kuuwana ndipo Allah akaamua kumuumba kiumbe aitwae binadamu,
QURAN inaeleza namna binadamu wa mwanzo namna alivyoumbwa ni hivi ifuatavyo:
Mungu (Allah) alimtuma malaika izrail aje duniani kuchukua udongo ili aumbwe binadamu ndipo Mungu akamtengeneza binaadamu wa kwanza baada ya kumpulizia roho Mungu akawaagiza malaika kumpa heshima adam kwa kumsujudia
Baada ya kuumbwa adam ndipo Mungu(Allah)akaweza kumuumba Hawa kutoka katika ubavu wa adam as ili iwe ni kitulizo cha nafsi na kuzaa watoto ,
Ndipo Mungu akatengeneza system yake kwa wakati huo ili watu wazaliane ,hawa alikuwa anazaa kila siku asubuhi na jioni mungu amewawezesha kuzaa hivyo ,wakaruhusiwa kuoana wao kwa wao ili wawe waijaze dunia hii ndio wakaweza kuzaliwa watoto wengi sana ,ndipo baada ya watu kuwa wengi na nabii adam na hawa kuondoka duniani ndipo Allah(Mungu)akamleta nabii NUHU kuja kuwaelimisha watu kumuamini na kumuabudu Allah(MUNGU) na sio kuabudu asiyekuwa yeye ,nuhu aliwalingania watu hao kwa kipindi cha miaka 900 takribani alipta wafuasi wachache sana idadi imenipita kidogo ,ndipo dunia ikaghariki na waliopona ni waliopanda jahazi la nuhu,
Huo ndio mchakato ulivyokuwa nimetohoa ktk Qur an
Swali tamuuuuuuuu. Ngoja niendelee kuelimikaKwann mungu aseme na tuumbe mtu kwa mfano wetu, na sikusema tuumbe kitu kwa mfano wetu, je kulikuwa na watu wasio mfano wa mungu, kama adam ni first creation why aliitwa mtu pasipo kuwepo.
Ninahakika hata hapa nchini miaka 2000 ijayo nyerere ndo atabaki kutambulika kuleta uhuru pekee wengine watafutwapia mungu ndiye aliyemteua adam katika wengi amjue mung lakini angeweza kumchagu hata mtu mwingine mkuu
ukisoma vibaya utatafsiri vingine
Shehe ukiongea hivyo inamaana hata simba, chuina wanya wengine wala nyama walikuwa wa mwisho kuumbwa kwa sababu kama walitangulia basi waliwala wenzao hivyo huwena kuna vizazi vingine vya wanyama havipo kwa sababu vililiwa hapo mwanzoMkuu how can your thinking be like this? Sasa kama wengi walikua wa kwanza inamaana walitokea kwa pamoja? yani kwa kusema hivo unamaanisha mwanzo wa kitu hua hamna, hata simu zilivotengenezwa kulikua na ya kwanza nyingine zikafatia.. hahaha duh ati wengi walikua wa kwanza, hahaha! hii kali. Kwa hiyo kwenu wewe pamoja na wenzako wote mlikua wa kwanza? hata mapacha kuna anayetangulia, hahaha! umetisha mzee
Kama nakuelewakuna kitu hapa kinanitatiza.Tunaamini kuwa Mungu hakosei na anajua kabla halijatojea. sasa inawezekanaje Mungu aruhusu kitu halafu baadae akikataze. inamaana tunakiri kakosea? mnaposema zamani ilikuwa ruksa kumlala dada yako halafu then kipindi cha mussa. Mungu huyo akataze? kulitokea nini mpk akataze? so mimi nitarudi tu kwa wanaoamini kuwa duniani kulikuwa na wengi sema adamu alikuwa chaguo lake katii yao km ambavyo alichagua manabii kati yetu. kwasababu Mungu sio bunge la tanzania linalopitisha rushwa"takrima"halafu baadae linakiri lilikosea eti ilikuwa rushwa. MUNGU H AKOSEI.
Nimeongeza kitukimsingi Adamu wala Hawa si mtu wa kwanza ktk hii dunia,adamu aliishi miaka elfu sita na ushee iliyopita,ilihali dunia ilikuwepo zaidi ya miaka elfu mia moja iliyopita.dhana ya adamu kuwa mtu wa kwanza ni matokeo ya uelewa finyu wa mafundisho ya biblia na quran.biblia inasema adamu alimzaa kaini na habili,na baada ya kaini kumwua nduguye habili mwishowe alikimbilia ktk nchi ya nodi na akaoa huko.kumbe kulikuwa na nchi na kumbe kulikuwa na watu wengine ambao alioa.quran inasema mungu alimwambia malaika mimi nitamweka halifa ktk ardhi.khalifa ni kiongozi,mfalme au mtawala,vipi aje kiongozi bila kuwepo waongozwa.kwa kifupi sana adamu alikuwa nabii wa kwanza kwa mujibu wa kumbukumbu za zama hizi tulizonazo.
Zipo hoja nyingi juu ya jambo hili lakini kwa haraka nimeweka kwanza hizo mbili ili kupisha michango ya wengine.
Hujaielewa hoja yake siku nyingine soma vizuri upate kuelewa kabla ya kubisha. Jamaa amesema adamu aliishi miaka mia 6 wakati huo dunia ilikuwa na miaka zaidi ya 1000 na ushee. Wewe unazungumzia uumbaji wa ulimwengu maelezo ya jamaa yana sema adamu aliumbwa miaka mia 4 baada ya dunia kuubwaMwanzo 2:5-7
"hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi; ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi.
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai."
HAPANA MTU WA KUILIMA ARDHI......kisha "Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi......" hao watu wa kwanza (Kabla ya Adam na Hawa) ni akina nani na walikuwa wapi hichi kipindi cha hayo maandiko?
Hujaielewa hoja yake siku nyingine soma vizuri upate kuelewa kabla ya kubisha. Jamaa amesema adamu aliishi miaka mia 6 wakati huo dunia ilikuwa na miaka zaidi ya 1000 na ushee. Wewe unazungumzia uumbaji wa ulimwengu maelezo ya jamaa yana sema adamu aliumbwa miaka mia 4 baada ya dunia kuubwa