Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

wengine wanasema alifukuzwa kaenda mji mwingi huko akaanzisha familia yake

swali je alikuwa mwenye?
Ndio ujue kulikuwa na watu pia huko
Kwa hiyo kuna watu walioubwa na Mungu kaa kina Kaini na abao hawakuubwa na Mungu??
 
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
Unajua na unaelewa maana ya hilo neno -ekundu?
 
mimi nashangaa sana mtu kusema kitu fulan ni uongo na kuomba msaada wa watu wengine waseme ukweli.huu ni ujinga wakiwango cha lami
 
Una uhakika mkuu so kaini aliogopa kuuawa na dada zake hadi awekewe alama
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unaweza kukuta ni ndugu zetu kabisa

Watanzania watakuwa watu wa kale Sana. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa itabidi tujue walikuwa kabila gani. [emoji16]
 
Watanzania watakuwa watu wa kale Sana. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa itabidi tujue walikuwa kabila gani. [emoji16]
Watu wa kale ila maendeleo hakuna [emoji34] [emoji34]
Kabila nahisi ni warangi [emoji12] [emoji12] [emoji12] maana ndio wenyeji wa huko
 
Watu wa kale ila maendeleo hakuna [emoji34] [emoji34]
Kabila nahisi ni warangi [emoji12] [emoji12] [emoji12] maana ndio wenyeji wa huko

Hahaha

Nimeipenda. Mwanadamu wa kale alipokaa lakini hakuna maendeleo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania watakuwa watu wa kale Sana. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa itabidi tujue walikuwa kabila gani. [emoji16]
adam na eve ndio waligunduliwa na dr louis leakey[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
adam na eve ndio waligunduliwa na dr louis leakey[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaha. Ndio.

Dr Leakey na Merry Leakey walipata mifupa katika tabaka la 4 la udongo ambalo ndio tabaka la chini kabisa katika miamba ya Olduvai. Kupitia Potassium dating tabaka hilo linakadiriwa kuwa na miaka zaidi ya milioni 1.8.

Na mifupa ilikutwa na mawe yaliyochongwa na mifupa ya wanyama kama swala na wanyama waliowindwa. Mifupa ya wanyama ilikuwa na alama za kukatwa kwa mawe na meno.

Sasa sijui ndio kina kaini, adamu au hawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi vitu vingine bhana. Vinachanganya sana. Kama Watanzania walikwepo tangu kale sasa mbona mpaka leo hawajaendelea? Wanajua uchawi na visingeli tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inabidi wajitambue sasa..... Kuelekea kwenye mafanikio ya kweli. Vinginevyo tutabakia na historia tu
 
Inabidi wajitambue sasa..... Kuelekea kwenye mafanikio ya kweli. Vinginevyo tutabakia na historia tu

Ahh [emoji54]

Kuna kazi kubwa sana. Me naona bora nijiangalie binafsi na kujitambua mwenyewe. Kumfanya kila mtu ajitambue itaumiza kichwa.

Its soooooo hard. [emoji23][emoji23]

[HASHTAG]#MiakaMia[/HASHTAG]
 
hahahaah ila pale kuna fuvu moja tu sa sijui ni la yupi kati ya adam au hawa?
 
hata kama walikuwa zaidi ya wawili au hawakuwa wa kwanza haina shida sana, ila jambo la wao kula tunda duuh hapo ndio waliharibu kila kitu
 
Umejuaje kwamba hakunyonya.Au ww ndio wa pili!
Yeye ndiye alikuwa wa kwanza angewezaje kunyonya "
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu
kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale
juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.’’
Kwa hiyo Mungu alimwumba mtu kwa
mfano wake mwenyewe,
kwa mfano wa Mungu alimwumba,
mwanaume na mwanamke aliwaumba. (Mwanzo 1:26-27)
"
 
hata kama walikuwa zaidi ya wawili au hawakuwa wa kwanza haina shida sana, ila jambo la wao kula tunda duuh hapo ndio waliharibu kila kitu
Na walikula tunda la kweli wala sio fumbo, maana Biblia huaga haimung'unyi maneno.
 
Hayo mawazo umeyatoa kwenye chanzo kipi ya Mungu kutumia udongo kuumba wananchi weeeengi, maana maelezo ya Mungu yote yapo kwenye vitabu vyake vitakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…