Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Hao watu wengi sana walikuwa akina nani? Hebu fafanua kidogo, au tudokeze hata majina yao! Ukiacha jina la Adamu na jina la Hawa au Eve.kaka kulikuwa na watu wengi sana na sio adam pekee yake hii ndio pointi yangu ya msingi
nasikia bustani ya edeni ilikuwepo kibosho huko moshi.. [emoji85]Na walikula tunda la kweli wala sio fumbo, maana Biblia huaga haimung'unyi maneno.
Hapana ilikuwepo nchini Iraq ambayo wakati huo ilijulikana kwa majina ya Mesopotamia, Babeli au Shinari.nasikia bustani ya edeni ilikuwepo kibosho huko moshi.. [emoji85]
nilikua najoke tuu .. nackia ni kwenye ile mito ya frati na tigrisHapana ilikuwepo nchini Iraq ambayo wakati huo ilijulikana kwa majina ya Mesopotamia, Babeli au Shinari.
mfano nchi ya misri ilikua na watu pia palikua na kabila la wayunani ilakatika ile bustani walikua ni adam na hawa tuHao watu wengi sakuwa akina nani? Hebu fafanua kidogo, au tudokeze hata majina yao! Ukiacha jina la Adamu na jina la Hawa au Eve.
Sio Al-Masri tu dunia nzima kulikuwa na watu lakini wote ni "wana wa Adamu" au "Bin Adamu" au Wanadamu lakini mtu aliyeumbwa na Yehova kwa kumfinyanga kwa udongo ni Adamu, Eva alitolewa kutoka kwa Adamu na watu wengine wote WALIZALIWA.mfano nchi ya misri ilikua na watu pia palikua na kabila la wayunani ilakatika ile bustani walikua ni adam na hawa tu
sawa sawa mkuuu nimekuelewaSio Al-Masri tu dunia nzima kulikuwa na watu lakini wote ni "wana wa Adamu" au "Bin Adamu" au Wanadamu lakini mtu aliyeumbwa na Yehova kwa kumfinyanga kwa udongo ni Adamu, Eva alitolewa kutoka kwa Adamu na watu wengine wote WALIZALIWA.
Hao wengine walizaliwaje na kutengeneza vizazi? Kwahiyo ndugu kwa ndugu walioana?Sio Al-Masri tu dunia nzima kulikuwa na watu lakini wote ni "wana wa Adamu" au "Bin Adamu" au Wanadamu lakini mtu aliyeumbwa na Yehova kwa kumfinyanga kwa udongo ni Adamu, Eva alitolewa kutoka kwa Adamu na watu wengine wote WALIZALIWA.
ndivyo ilivyo kuwaHao wengine walizaliwaje na kutengeneza vizazi? Kwahiyo ndugu kwa ndugu walioana?
Hao wengine walizaliwaje na kutengeneza vizazi? Kwahiyo ndugu kwa ndugu walioana?
Basi walioleta makatazo ni watu wenyewe na wala sio Mungu.Hapa kuna shida kidogo japo kwa upande wa bible still ipo wazi sana...biblia inasema Adamu na Hawa walizaa watoto wawili Kaini na Abel, baadae Sethi, zen biblia inachepka na kutoa general conclusion ya watoto wa Adam na Hawa kwa kusema kuwa Adam na Hawa walizaa watoto wa kike na kiume wengi tu...ukweli ni kuwa Kaini na Sethi walioa dada zao...kwa kpind hcho Mungu aliruhusu jambo hilo kufanyika but kwa sasa hairuhusiwi....c'se kuna variety of choice
Sikuwa nikfaham hili ngoja niendelee kuelimika.
.
.
.
.
.
kuna mahali katika Biblia kuna mtoto wa adam aitwae kaini alimuua ndugu yake abeli........baada ya tukio hilo tunaelezwa kwamba aliondoka nyumbani kwao akaenda kuungana na watu wengine.........swali ni kwamba kama adam na eva ndio waliotengeneza familia ya kwanza duniani,hawa watu wengine walitokea wapi?
.
.
.
.
mh!
Mbona utamu unazidi ngonja niongeze elimuhapo hapo kuna mahali wanasema alipomuua ndugu yake alitaka awekewe alama ili watu wasimzuru je unajua ni watu gani?
Ndugu ni bora kukaa kimya kufuatilia uzi kuliko kubisha tu. Hata hapa kweli waliotafuta uhuru ni wengi why kila kitu nyerere? Uwaja nyerere, daraja kigamboni, nyerere mabarabara mitaa ndo usipime. Kwani wengine wako wako wapi? Unamjua alianzisha mwenge wa uhuru ni nani na alikuwana maana gani? Ametoa maelezo kuwa Mtoto wa adamu alipomuua nduguye alitoroka akaenda kuishi mbali na watu wengine. Na aliomba awekewe alama ya damu ili watu wasimdhuru. Je ni kinanani wangemdhuru na alikwenda kuishi na kina nani?Watu wengi kama nani ni nini referance yako? kwa mujibu wa maandiko Adam ndiyo wa kwanza kwani hakuja kiumbe kisichokuwa na mwanzo.
Kwa hiyo adamu alikuwa mwarabu si ndio?kama huna jibu usipende kupinga we inatakiwa uulize maswali tu,usiseme unapinga ikiwa hujui juu laHilo,nami nakusaidia tu kwamba ukweli unavyoeleza vitabu kwamba tofauti ya rangi imetokana baada ya gharika la nabii nuhu.
Nimejikuta nacheka kwa sautiKama ni mdini binadamu wakwanza adam
Kamna ni msayansi tumetoka kwa manyani
Kama ni m elien tumetengenezwa kwenye maabara tukawekwa hapa