Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

Ndugu wanasema kaini alimuua abeli
wengine wanasema alifukuzwa kaenda mji mwingi huko akaanzisha familia yake

swali je alikuwa mwenye? Na aliwezaje kuanzisha familia?
Ndio ujue kulikuwa na watu pia huko alikoenda
 
aaaa naona natwangwa maji kwenye kinu hapa, eti fikiri! We ndo ufikiri, naona hujui moja kuhusu theories za human revolution.
We kwa macho au masikio yako ni lini ulisikia sokwe kabadilika kawa binadamu na sasa anaitwa fulani? Mkuu zile ni story kama sungura na fisi kisha sungura akasema. Basi
 
Kwa maana yako Nuhu ni mtoto wa adamu?

Na kama sio ilipita miaka mingapi au zalio ngapi kuja kupatikana nuhu?

Na je kipindi cha nuhu kulikuwa na ngozi nyeusi? (Sisi waafrika)

Je kabla ya gharika kulikuwa na mgawanyiko wa mabara kwa kugawanya na bahari? Na kama ndio wanyama na viumbe wengine waliwezaje kuvuka na kwenda kwenye safina la nuhu? Na kama kulikuwa hakuna mgawanyiko. Safina la nuhu lilitua mount Everest. Viumbe wa aftika ulaya na amerika kusini na kaskazini waliwezaje kuvuka bahari na kwenda kuishi huko?

Sauti ya nuhu iliwezaje kuwafikia viumbe wa afrika kusini na amerika na kwenda kwenye safina

Kwa mujibu wa vitabu vya dini ni Suleiman pekee ndio alikuwa na uwezo wa kuongea na viumbe wote mpaka wanyama. Swale je Nuhu na yeye alipewa uwezo huo? Na kama ni ndio pameandikwa wapi? Kitabu gani? Kama hapana alitumia nini kuwatambulisha viumbe kuwa ni muda wa kuibgia fafinani?
 
Kwann mungu aseme na tuumbe mtu kwa mfano wetu, na sikusema tuumbe kitu kwa mfano wetu, je kulikuwa na watu wasio mfano wa mungu, kama adam ni first creation why aliitwa mtu pasipo kuwepo.
Swali tamuuuuuuuu. Ngoja niendelee kuelimika
 
pia mungu ndiye aliyemteua adam katika wengi amjue mung lakini angeweza kumchagu hata mtu mwingine mkuu
ukisoma vibaya utatafsiri vingine
Ninahakika hata hapa nchini miaka 2000 ijayo nyerere ndo atabaki kutambulika kuleta uhuru pekee wengine watafutwa
 
Shehe ukiongea hivyo inamaana hata simba, chuina wanya wengine wala nyama walikuwa wa mwisho kuumbwa kwa sababu kama walitangulia basi waliwala wenzao hivyo huwena kuna vizazi vingine vya wanyama havipo kwa sababu vililiwa hapo mwanzo
 
Kama nakuelewa
 
Nimeongeza kitu
 
Hujaielewa hoja yake siku nyingine soma vizuri upate kuelewa kabla ya kubisha. Jamaa amesema adamu aliishi miaka mia 6 wakati huo dunia ilikuwa na miaka zaidi ya 1000 na ushee. Wewe unazungumzia uumbaji wa ulimwengu maelezo ya jamaa yana sema adamu aliumbwa miaka mia 4 baada ya dunia kuubwa
 
mambo ya kupoteza muda wangu kusoma na kuiamini biblia nilishaachaga tangu nijielewe,ujinga kabisa kuamini vitu ambavyo havina proof,ujinga ujinga tu na uwongo!
 

Kabla haujaninukuu na kutoa ushauri. Siku nyingine fuatilia mjadala ulipoanzia na mhusika nnaemnukuu.

Nashukuru kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…