Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

mkuu utapotoka bure kwa kufuata maneno jinsi yalivyo
 
Samaritan

ndugu Mungu hakuwa na na lengo la kumleta adam kulima kilimo unachodhan wewE BALI MAKONDE NA MABONDE ALIYOMAANISHA NI KUENEZA ROHO YA KUMJUA MUNGU KWANI WATU WOTE WALIOKUEPO KIPINDI ILE HAWAKUMJUA MUNGU
ADAMU HAKUWA MKULIMA WA MAZAO UNAYO FIKIRIA
SWALI KWAKO:
JE UNADHANI ADAM ALIZUNGUKA DUNIA NZIMA KAMA ALIKUWA PEKE YAKE NA AKATAFUTA MAKONDE YOTE NA MABONDE ILI ALIME AU ALIKUWA PALE EDENI YA IRAQ ?
MUNGU ANAPOSEMA NCHI JE MUNGU ANA MIPAKA HII YA KIBINAADAMU?

ADAM HAKUWA MTU WAKWANZA DUNIAN MKUU SEMA UNAKARIRI VIBAYA
 
Last edited by a moderator:

mkuu funguka tena sijakupata falsafa yako
 
tatizo letu wabongo tunakariri sana kuliko kufikiRI KUMEZA MISTARI YA MANENO MATAKATIFU sio kumjua mungu
hoja ya dunia ilikua na watu tangu kale kabla ya adam ipo correct then hizo contradiction za kuwa na agano la kale na jipya au kusoma quruan kwa mapenzi bila kuelewa kinachomaanishwa sio vizuri kabisa ndio kunasabisha watu KUSEMA MTU ALIKUWA MMOJA DUNIA NZIMA
 
Ok,
Tunakisia au kuna andiko linalo-support hii??
 
Kama ni mdini binadamu wakwanza adam
Kamna ni msayansi tumetoka kwa manyani
Kama ni m elien tumetengenezwa kwenye maabara tukawekwa hapa

brother,i'm not sure whether you are aware of how deep your answer is to this thread!
 
mkuu funguka tena sijakupata falsafa yako

In short inadaiwa Mungu alimuumba mwanamke twice, wa kwanza alitoroka lakini wakati napitia maandiko kitabu cha mwanzo sura ya Kwanza hadi ya tatu bado naona ni ngumu kuprove hii falsafa ila wana historia wengi wnadai mwanamke wa kwanza alipoumbwa alikua equal na Adam kwani naye aliumbwa straight kutoka mavumbini,then mambo ya gender yakawa strong hapo alikataa kulaliwa na Adam, malingo na nyodo mwishowe akatoroka, Adam akamlalamikia Mungu, wakatumwa malaika wamtafute wamrudishe still akagoma, Mungu ndo akamuumba wa pili EVA kutoka kwa Adam mwenyewe. Baada ya huyu wa pili kuletwa kwa Adam unaona jinsi Adam anavyofunguka pale na kusema huyu sasa ni nyama katika nyama yangu.... na mwishowe Adam mwenyewe anatoa agizo la ndoa palepale
 
unajua wewe unaleta "dhana" ambayo haina reference, lete reference kuwa kulikuwa na watu, mie sijakariri isipokuwa natoa kwenye reference "Biblia"
 
Last edited by a moderator:
Duh,

Mkuu kuna chembe ya Ukweli kwenye hii story??
Wajua bana story za dini tunazisikia sana kwenye vitabu vya dini tu, sio vingine sijui vya historia. Ila kidogo nimeongeza siku za kuishi kwa kucheka aisee hii story.
 
unajua wewe unaleta "dhana" ambayo haina reference, lete reference kuwa kulikuwa na watu, mie sijakariri isipokuwa natoa kwenye reference "Biblia"

natumia bible na quruan nimekupa mistar au hujaelewa?
 
unajua wewe unaleta "dhana" ambayo haina reference, lete reference kuwa kulikuwa na watu, mie sijakariri isipokuwa natoa kwenye reference "Biblia"

natumia bible na quruan nimekupa mistar au hujaelewa?
 
Oops!
This is super story!
Mkuu umenikumbusha story za Bhagavad Gita (a Hindu Epic).
Wewe endelea kukariri hizo story shauri yako.
 
si useme katika Biblia kitabu cha "matayo ngapi"? au "Ayubu ngapi", ama katika Quran sura fulani inasema hivi,etc,
natumia bible na quruan nimekupa mistar au hujaelewa?
 
Duh,

Mkuu kuna chembe ya Ukweli kwenye hii story??
Wajua bana story za dini tunazisikia sana kwenye vitabu vya dini tu, sio vingine sijui vya historia. Ila kidogo nimeongeza siku za kuishi kwa kucheka aisee hii story.

Mambo ya Mungu ni Magumu sana, wewe unadhani Mungu alikua hajui agano la kwanza lita-fail, lakini alilileta hivyohivyo lakini baadaye akaleta agano la pili. sasa kati ya agano na kuumba mtu ni kipi sensitive zaidi hap😵bvious agano liko superior lakini Mungu alileta agano lingine badala ya kuchukua maamuzi sawasawa na principle of contract zinavokuwa kwamba agano likiwa breached ni kuvunja na kwenda kwenye remedial actions ambapo kwa kesi hii huu upande wa wanadamu ndo ungesafa lakini akaamua kuleta agano lingine na hatushangai
 
Dah,

Issue za mungu bana ziko senstive sana aisee. ukifikiria sana waweza kujikuta unapotoka. Juzi kati hapa akatokea jamaa mmoja anaitwa LIKUD akadai yeye mwenyewe ni mungu, duh!!!!.
 
Last edited by a moderator:
Dah,

Issue za mungu bana ziko senstive sana aisee. ukifikiria sana waweza kujikuta unapotoka. Juzi kati hapa akatokea jamaa mmoja anaitwa LIKUD akadai yeye mwenyewe ni mungu, duh!!!!.

Wewe unasemaje kuhusu hili mkuu
 
Umejuaje kwamba hakunyonya.Au ww ndio wa pili!

Hili swali lako wanaoweza kukujibu Kwa ufasaha ni wale watu wa dini ya bahati nasibu (coincedences).Wale wanaokana kuwa kuna Muumbaji wa ulimwengu na vilivyomo ndani yake. Hawa wanasema nyani aligeuka mtu. Inawezekana nyani mmoja aligeuka dume na nyani mwingine aligeuka jike ,hapo kazi ilianza ya kuijaza dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…