Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

inasemekana mungu alipomuumba adamu pale anaposema na tumfanye mtu kwa mfano wetu, mungu akamuumba adam, mwanamume na mwanamke akwaumba, halafu baadaye tunasoma mungu akimletea usingizi adam kuumba mwanamke mwinigne, eva. Inasemekana yule mwanamke wa kwanza alitoroka kulingana na watafiti wa biblia. Unajua biblia haikumaliza kujaza gaps nyinig kwenye biblia ambapo unakuta baadhi ya gaps katika kitabu cha mwanzo zinakamilishwa kwenye kitabu cha ufunuo au kingine chochote au zinaachwa blank kabisa kwani hazina impact ya moja kwa moja kwani kutokujulikana kwazo hakupunguzi mpango wa ukombozi ambao mungu tayari ameuweka .hiviyo huyo mwanamke wa kwanza akawa anamdhalau adam, akagoma kulala nae, kulingana na huo utafiti na mwisho wa siku akatoroka kwa kuliita jina la mungu (elohim) lilokuwa limefichwa kwa wanadamu by that time sijui nani alimwambia, hata yesu alilitaja wakati anakata roho. Alipolitaja tu akapata nguvu ya kutoroka duniani kwenda mbinguni malaika wakaingilia kumzuia na akapelekwa kifungoni ila walau jina lake limetajwa kwenye kitabu cha nabii isaya anaitwa lilith nodo mungu akaona kuondoa hizi dhalau inabidi nimuumbie adam mwanamke kutoka kwake moja kwa moja.
.........................isaya ngapi mkuu imemtaja huyu mwanamke
 
Hawa alikuwa anazaa kila siku asubuhi na jioni!?, teh teh, nimeipenda hii ila mkuu ungekuja na vifungu ingependeza zaidi, kula Like mkuu.
QURAN inasema zimepita zama nyingi sana ulimwenguni hakukuwa na kiumbe binaadamu ,hii dunia ilikuwa na viumbe wengine wasiokuwa binaadamu inasema hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini baada ya kuona majini wanapigana na kuuwana ndipo Allah akaamua kumuumba kiumbe aitwae binadamu,
QURAN inaeleza namna binadamu wa mwanzo namna alivyoumbwa ni hivi ifuatavyo:
Mungu (Allah) alimtuma malaika izrail aje duniani kuchukua udongo ili aumbwe binadamu ndipo Mungu akamtengeneza binaadamu wa kwanza baada ya kumpulizia roho Mungu akawaagiza malaika kumpa heshima adam kwa kumsujudia
Baada ya kuumbwa adam ndipo Mungu(Allah)akaweza kumuumba Hawa kutoka katika ubavu wa adam as ili iwe ni kitulizo cha nafsi na kuzaa watoto ,
Ndipo Mungu akatengeneza system yake kwa wakati huo ili watu wazaliane ,hawa alikuwa anazaa kila siku asubuhi na jioni mungu amewawezesha kuzaa hivyo ,wakaruhusiwa kuoana wao kwa wao ili wawe waijaze dunia hii ndio wakaweza kuzaliwa watoto wengi sana ,ndipo baada ya watu kuwa wengi na nabii adam na hawa kuondoka duniani ndipo Allah(Mungu)akamleta nabii NUHU kuja kuwaelimisha watu kumuamini na kumuabudu Allah(MUNGU) na sio kuabudu asiyekuwa yeye ,nuhu aliwalingania watu hao kwa kipindi cha miaka 900 takribani alipta wafuasi wachache sana idadi imenipita kidogo ,ndipo dunia ikaghariki na waliopona ni waliopanda jahazi la nuhu,
Huo ndio mchakato ulivyokuwa nimetohoa ktk Qur an
 
me hua nnachotaka kujua ni kua endapo Kaini ndo alikua binadamu wa kwanza kuzaliwa na Kisha Abel kaini alipomuua Abel na kulaaniwa akafukuzwa ila huko akakuta mjin ilikuaje hapo am i missing something? Na pia alizaa na nani? Also kwanini tunaitwa kizazi cha nyoka maana kuna theories nazisikia kua Eve alizini na shetani na alibeba ujauzito wa kaini which means sote sis ni kizazi chake. I'm confused
 
.........................isaya ngapi mkuu imemtaja huyu mwanamke

ukisoma biblia za kiigerera au kiswahi (namaanisha ambazo zimeshatafsiliwa kutoka kwenye original text (kumbuka Isaya ndo kitabu cha kale ambacho kipo intact kama kilivyoandikwa na nabii mwenyewe) hilo jina Lilith utaliona, ila hawa wengine baada ya kuona hakuna maana wakaamua kutafsiri kwa kutaja viumbe vya giza na mambo kama hayo lakini ntakuwekea mistri yote

angalia kwanza kwenye kiebrania neno Lilith lipo pale wazi nime-highilight bold in red , na maandiko ya kiebrania unasoma kutoka kulia kwenda kushoto

(Isa 34:14 [WLC])
וּפָגְשׁוּ צִיִּים אֶת־אִיִּים וְשָׂעִיר עַל־רֵעֵהוּ יִקְרָא אַךְ־שָׁם הִרְגִּיעָה לִּילִית וּמָצְאָה לָהּ מָנֹֽוחַ׃

lakini hizi za kutafsiri wanaishia kuonyesha someone mwenye jinsia ya kike atapata rsting place

cheki hapa chini

(Isa 34:14 [NET])
​​​​​​​Wild animals and wild dogs will congregate there; ​​​​​​wild goats will bleat to one another. ​​​​​​Yes, nocturnal animals will rest there ​​​​​​and make for themselves a nest.

(Isa 34:14 [HCSB])
The desert creatures will meet hyenas, and one wild goat will call to another. Indeed, the screech owl will stay there and will find a resting place for herself.

(Isa 34:14 [ESV2011])
​And wild animals shall meet with hyenas; the wild goat shall cry to his fellow; indeed, there the night bird settles and finds for herself a resting place.

ukisoma hivi vitabu vilivyotafsiriwa kutoka kwenye original text ni ngu u kupata picha ya Lilith ila utaona tu jinsia ya kike inatajwa pale
 
In short inadaiwa Mungu alimuumba mwanamke twice, wa kwanza alitoroka lakini wakati napitia maandiko kitabu cha mwanzo sura ya Kwanza hadi ya tatu bado naona ni ngumu kuprove hii falsafa ila wana historia wengi wnadai mwanamke wa kwanza alipoumbwa alikua equal na Adam kwani naye aliumbwa straight kutoka mavumbini,then mambo ya gender yakawa strong hapo alikataa kulaliwa na Adam, malingo na nyodo mwishowe akatoroka, Adam akamlalamikia Mungu, wakatumwa malaika wamtafute wamrudishe still akagoma, Mungu ndo akamuumba wa pili EVA kutoka kwa Adam mwenyewe. Baada ya huyu wa pili kuletwa kwa Adam unaona jinsi Adam anavyofunguka pale na kusema huyu sasa ni nyama katika nyama yangu.... na mwishowe Adam mwenyewe anatoa agizo la ndoa palepale

kitabu gani kimeandika hayo ..... nimepata mwamko wa kusoma hiyo habari.
 
Dah,

Issue za mungu bana ziko senstive sana aisee. ukifikiria sana waweza kujikuta unapotoka. Juzi kati hapa akatokea jamaa mmoja anaitwa LIKUD akadai yeye mwenyewe ni mungu, duh!!!!.


Likud by the way ni neno la kiebrania

ukisoma kitabu cha daniel, kuhusu mtawala ambaye atauingiza ulimwengu kwenye matatizo na vurugu ambazi zita = trigger dhiki kuu na kupelekea mwisho wa dunia, ni kwamba atakuja kimzahamzaha hivi watu watamdhalau na kumbe ndo mpango kamili wa shetani.

na ili shetani aje kwa style hiyo na asishitukiwe na mtu , inabidi kwanza atafute strategy ya kupumbaza watu, kwamba ataanza kwa kuleta watu wenye mizaha kama hao na sisi tunapuuza ili kwamba siku akimleta yule mtawala mwenye uso mkali (according to the bible) tusichukulie serious mpaka tutakaposhtuka too late.


(Dan 11:21 [ESV2011])
In his place shall arise a contemptible person to whom royal majesty has not been given. He shall come in without warning and obtain the kingdom by flatteries.



(Dan 11:22 [ESV2011])
Armies shall be utterly swept away before him and broken, even the prince of the covenant.

(Dan 11:23 [ESV2011])
And from the time that an alliance is made with him he shall act deceitfully, and he shall become strong with a small people
.
 
Mkuu Balacuda,rafiki yangu alinambia kuwa 'first marriage' mara nyingi zinakuwa 'wrong' kwa falsafa alizonipa tena na 'supporting evidence' kuwa ndo maana wazazi wetu waliweza kuoa 'second wives' kumbe hata Adam ilimpata hii! Dah!
 
Aisee! kupitia wachangiaj wa mada hapa naanza kuunganisha vitu kuhusu habari za mwanamke "Lilith".
ambaye nmewahi sikia ni wife of satan pia huwakilishwa na alama ya bundi /owl.
sema nlikua cjui kuwa ndo alikua mke wa Adam before Eva. So it mean if it is real satan exist, kajimilikisha Lilith !!. tena ina maana Lilith hajafa had leo b'cause hakula tunda!?!
emu mwenye chanzo Cha habari za Lilith anipe b'cause Bible Haijaeleza. (sichagui nasoma elimu zote)
 
Aisee! kupitia wachangiaj wa mada hapa naanza kuunganisha vitu kuhusu habari za mwanamke "Lilith".
ambaye nmewahi sikia ni wife of satan pia huwakilishwa na alama ya bundi /owl.
sema nlikua cjui kuwa ndo alikua mke wa Adam before Eva. So it mean if it is real satan exist, kajimilikisha Lilith !!. tena ina maana Lilith hajafa had leo b'cause hakula tunda!?!
emu mwenye chanzo Cha habari za Lilith anipe b'cause Bible Haijaeleza. (sichagui nasoma elimu zote)

Aisee! Kwanza hongera kwa kuufufua huu uzi.
 
Likud by the way ni neno la kiebrania

ukisoma kitabu cha daniel, kuhusu mtawala ambaye atauingiza ulimwengu kwenye matatizo na vurugu ambazi zita = trigger dhiki kuu na kupelekea mwisho wa dunia, ni kwamba atakuja kimzahamzaha hivi watu watamdhalau na kumbe ndo mpango kamili wa shetani.

na ili shetani aje kwa style hiyo na asishitukiwe na mtu , inabidi kwanza atafute strategy ya kupumbaza watu, kwamba ataanza kwa kuleta watu wenye mizaha kama hao na sisi tunapuuza ili kwamba siku akimleta yule mtawala mwenye uso mkali (according to the bible) tusichukulie serious mpaka tutakaposhtuka too late.


(Dan 11:21 [ESV2011])
In his place shall arise a contemptible person to whom royal majesty has not been given. He shall come in without warning and obtain the kingdom by flatteries.



(Dan 11:22 [ESV2011])
Armies shall be utterly swept away before him and broken, even the prince of the covenant.

(Dan 11:23 [ESV2011])
And from the time that an alliance is made with him he shall act deceitfully, and he shall become strong with a small people
.
D. Trump?
 
wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI! TAFADHALI FUNGUKA!
"..Adam na hawa waligunduka huko, ila mwanadamu mweusi alijulikana kwa jina la Kingologo alikuwa mvuvi lindi vijijini"
 
je miaka 5000 baadae yale masokwe mtu yatakua binadamu ? Mkuu funguka zaidi ..fikiri
Binadamu hata kuishi karne tu hafiki now revolution iko too slow kunotice changes kama una kumbukumbu za nyuma watu walikuwa giant yani maumbo makubwa na nywele nyingi mwilini sasa hvi hali ipoje? Watu ni wadogo sana kimaumbo pia hawana nywele revolution ipo mkuu, Theory ya natural selection ina mashiko na madhaifa yake haipo competence zipo zingine nyingi tu theory za mwanzo wq binadamu zipo zinazodai uhai uliletwa na acturian alien kutoka anga za mbali kiukweli Charles Darwin anashawishi na hio theory ya evolution but hayuko perfect 100% ata ww leo uki theorized Theory nzuri juu ya mwanzo wa bibadamu basi tutakuelewa ila ktk theory dhaifu kabisa ni hii ya kuwa tumetoka kwa adam na hawa iko too weak mkuu
 
Back
Top Bottom