Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike

Nimetambua leo kumbe mshana jr ni cdm aisee. Yaani sasa unasema kile kyama ni cha ubwabwa?? Haya miye simo wakikujia hao wasiojulikana. Ila, usiseme ati ni Nabii Adam tu hakuwa ni silika za kike. Utakuwa umekosea sana kwani Hawa hakuumbwa bali alitwaliwa ndani ya nabii Adam. Hivyo, ili azae alipoamka tu vile vinasaba vya kike vikaanza kuwaka ndani yake. Kitabu cha Mwanzo suat 3 Mnyazi Mungu SA alimwambia Hawa kuwa tamaa zake zitakuwa kwa huyu mwanamume. Hivyo, vinasaba vya kike ni Tamaa kwa mwanamume. Ndo maana ajiremberembe. Hata hiyo picha yako ya kwanza ni kuwa, hilo bwabwa linatamani wanaume ndo maana likajiweka kihivyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watoto wa Adam na Eva walioana, kumbe kuona kaka na dada sio kosa kwani tunaiga kutoka kwao. Ndio maana nasema hizo ni hekaya za Abunuwasi
 
Nimekuja mbio kuangalia misuli ya Adam nakutana na wanaume lainiii...
 
Hasa picha ya mwisho yani dume limepiga goti kuvalisha pete dume linzie eti na lenyewe linajiliza uwiiiiiiiiì Mungu hukutuumba tuyafanye haya. Tuepushe vizazi vyetu na hili chukizo mbele yako.
 
Lazima watu wajifunze kuishi, na kuwaacha wengine waishi. Upevu wa akili na ustaarabu ni pamoja na kukubali tofauti miongoni mwa watu.

Kuna vilema na walio wazima, kuna wakristo na waisilamu, kuna wapagani na wenye dini, kuna waabudu mizimu na wachawi, kuna warefu na wafupi, Kuna waarabu na wachina, kuna wazungu na waafrika.

Uvumilivu na upendo juu ya tofauti hizo ndio umeifanya dunia iwe hivi leo!!! Utu, heshima, haki, na wajibu ni nyenzo za msingi kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi.

Ubaguzi wa aina yoyote, chuki, hasira, husuda, unyanyapaa, na kunyooshea vidole wengine haviwezi kuijenga dunia yenye usalama.

Vizazi huja, vizazi huondoka, miongoni mwao mashoga wakiwemo. Watoto, wadogo zako, ndugu zako na wajukuu zako hawako salama sana kuuepuka ushoga. Mtu yeyeto anaweza kutokea kuwa shoga.

Mimi sifikirii kabisa kwamba ushoga ni jambo la kukera. Halikeri kwasababu halimuhusu wala halimdhuru asiyelifanya.

Watu wawili wenye utashi na maamuzi huru, wakikubaliana kupendana na kuitumia miili yao kwa namna wanayoitaka, kwanini imuumize mwingine!!!
 
sijajua bado kama nikizaa toto likawa shoga nitalifanya nini mpaka sasa..
Muumba aniepushie mbali kwa kweli!!
 
Mkuu unataka kutetea ushoga au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…