Ulitolewa ubavu kisha ukaongezewa mengine pamoja na pumzi ni sawa na kufanya cloning au budding kwa wale waliosoma Agriculture watanielewaMkuu Mshana jr kama Adam hakua na vinasaba vya kike, ikawaje mwanamke atoke katika ubavu wake.
Ingekua cloning angetoka mwanaume mkuu. ni kwa sababu kulikua na vinasaba vya kike ndio maana akaweza kutoka mwanamke.Ulitolewa ubavu kisha ukaongezewa mengine pamoja na pumzi ni sawa na kufanya cloning au budding kwa wale waliosoma Agriculture watanielewa
Hivyo vya kiume alivitoa wapi wakati pia hakupitia kwa mwanaumeMkuu Adam Aliumbwa moja kwa moja toka udongoni, Hakutoka Katika Tumbo la Mwanamke, Kwahiyo ni Ngumu sana Kuwa na Vinasaba vya Kike ila sisi na hata wewe ambao tumetoka kwenye Tumbo za Wanawake tuna vinasaba vya Kike Hata kama Havijionyeshi!
kuna sehemu nimesema ana vinasaba vya kiume?Hivyo vya kiume alivitoa wapi wakati pia hakupitia kwa mwanaume
Na hivyo vya kiume kavipata wapi wakati hakupitia kwa baba.Mkuu Mshana jr kama Adam hakua na vinasaba vya kike, ikawaje mwanamke atoke katika ubavu wake.
Kwahyo Adam hakuwa na vinasaba vya kiume duh!kuna sehemu nimesema ana vinasaba vya kiume?
Mkuu Mshana najua we unapenda kufuatilia vitu.ukifuatilia kwa undani utaona kwamba Adam aliumbwa akiwa sio tu na vinasaba vya kike bali akiwa both sex kabisa(hymophodrate) not sure with spelling.Basi tufanye ni budding
sasa unatakiwa uulize swali, mwanzo pale ulifanya kunisingizia kesi isiyonihusuKwahyo Adam hakuwa na vinasaba vya kiume duh!
Nadhani mhusika wa uzi atakua na jibu sahihi .Mimi na wewe wote ni followers wa hii threadsasa unatakiwa uulize swali, mwanzo pale ulifanya kunisingizia kesi isiyonihusu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja tupanue mjadala kwa kuangalia background ya LilithMkuu Mshana najua we unapenda kufuatilia vitu.ukifuatilia kwa undani utaona kwamba Adam aliumbwa akiwa sio tu na vinasaba vya kike bali akiwa both sex kabisa(hymophodrate) not sure with spelling.
mkuu hapa inabidi nifukunyue zaidi umeniacha hewani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja tupanue mjadala kwa kuangalia background ya Lilith View attachment 692652[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazungu bana eti Lilith alikuwa mweusi halafu Adam alikuwa blazamen
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Halafu mara nyingi wale wanaopiga marufuku bi either ni mashoga,wanapenda mashoga au wana denial.Hawa mashoga wanaliwa sana na watu wanaitwa wanaume kamilo na sio mashoga wenzie.
[emoji3064][emoji44][emoji3064][emoji3064][emoji3]sasa unatakiwa uulize swali, mwanzo pale ulifanya kunisingizia kesi isiyonihusu