little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 557
Hivi Adamu na Eva (Hawa) walikuwa na vitovu? Kwa jinsi inavyo onekana Adam hakuwa na kitovu na hata Eva hakuwa na kitovu.
Maana kivotu ni alama ya kuwa ulikuwa attached na mama kipindi upo tumboni mwake.
Lakini katika picha nyingi za enzi na enzi zinaonyesha adamu na Eva walikuwa na vitovu.
Kuna theory nyingine za vitabu vya samaria ambavyo vinaonyesha kuhusu viumbe waliotokea sayar ya mbali na kuja duniani kwa ajili ya kutafuta madinj ya "monoatomic gold" kwa ajili ya kuendelea kuishi. Annunaki kwakuwa walikuwa na tekinolojia kubwa wakaamua kutengeneza viumbe ambavyo ndo sisi kwa ajili ya kusaidia upatikanaji na uchimbaji wa hayo madini.
Hivyo Adam na Eva ni 'tube babies" ndo mana wana belly bottons.
Je, Mungu alimuumba Adamu na Eva bila kuwa na vitovu?