Adamu na Eva walikuwa na Vitovu (Belly buttons)?

Sisi tumetokana Na Adam so nadhani tulichonacho naye alikuwa nacho sio kwamba kisa hakuzaliwa ndo asiwe Na kitovu kumbuka Mungu anaweza mambo yote kitovu kiliwekwa kwa kazi maalum Na Sisi tumekipata kwa njia maalum ya kupitia kwa mama,ni sawa Na kuuliza kati ya kuku Na yai kipi kilianza mtu akikujibu ni kuku utahoji nani alitaga mayai lakini ukitafakari tu kuwa Mungu aliumba wanyama hakuumba mayai utapata jibu but kwa suala la Adam Na hawa kuwa Na kitovu nadhani Mungu ndo anajua...ni mawazo yangu tu hayo
 
Hiyo ni mifano inaweza tu so don't bother about this issue cause there is no theory clarify if Adam exist in this world scientific tried but they failed
 
najua nitakuwa nimetoka nnje ya mada ila unapotumia neno "himself" kwenye utambulisho wa mungu ina maaana kuwa mungu ni wakiume amaaaa na kama ni wakiume hebu nipe uthibitisho hapa.
mkuu mungu anakuwa anapewa sifa za kiume jaribu kuangalia sehemu mbali mbali utaona MFAno "praise God he made her"
 
najua nitakuwa nimetoka nnje ya mada ila unapotumia neno "himself" kwenye utambulisho wa mungu ina maaana kuwa mungu ni wakiume amaaaa na kama ni wakiume hebu nipe uthibitisho hapa.
Tufanye mtu kwa sura yetu na mfano wetu akatawale dunia. Akamuumba Adamu ambaye kijinsia alikuwa mwanamme.
 
najua nitakuwa nimetoka nnje ya mada ila unapotumia neno "himself" kwenye utambulisho wa mungu ina maaana kuwa mungu ni wakiume amaaaa na kama ni wakiume hebu nipe uthibitisho hapa.
Ni moja ya mapungufu ya lugha ya kiingereza, kwenye kiarabu mungu anawakilishwa kwa kiwakilishi ambacho ni genderless, yani kuna kiwakilishi kwa ajili ya mungu tu
 
Tufanye mtu kwa sura yetu na mfano wetu akatawale dunia. Akamuumba Adamu ambaye kijinsia alikuwa mwanamme.
-Kutokana na maelezo yako kuna mungu wa kike ambaye ni mke wa mungu wa kiume . si ndo ndiyo
 
Tufanye mtu kwa sura yetu na mfano wetu akatawale dunia. Akamuumba Adamu ambaye kijinsia alikuwa mwanamme.
-Kutokana na maelezo yako kuna mungu wa kike ambaye ni mke wa mungu wa kiume . si ndo ndiyo
kwa kuwa mfano wa eva(hawa) ni kutokana na mungu huyo wa kike
 
Aaah any way may be coz all we do that is for the power and owner aman and blessing blinging for the power of god now one have evidence for that..... [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kuna maswali mengine ni Mungu tu na malaika wake ndio wanaweza kujibu.Mojawapo ni hili
 
Baada ya mtoto kutoka tumboni mwa mamaye kitovu kina kazi gani?
 
Umekariri kuwa mwenye kitovu basi alikuwa attached na mama,kwani mungu hawez kuwaumba na kuwaweka vitivu??
 
Ni msemo tu usihofu...
Halaf kama ukiwa mkristo utaamin tu in mwanaume coz baada ya wanafunz wa yesu kumwambia utufundishe kusali aliwaambia ukitaka kusali semen ([HASHTAG]#BABA[/HASHTAG] yetu ulie mbinguni,,,,) hii ya neno baba inamaanisha kiume
 
Naomba na mimi ni kuulize. Ni nani aliyewapiga picha au kuwachora enzi izo?
 
Halaf kama ukiwa mkristo utaamin tu in mwanaume coz baada ya wanafunz wa yesu kumwambia utufundishe kusali aliwaambia ukitaka kusali semen ([HASHTAG]#BABA[/HASHTAG] yetu ulie mbinguni,,,,) hii ya neno baba inamaanisha kiume
Yap true...
 
Hizopicha sio zao kwasabanu kipindihicho teknolog ya picha haikuwepo
 
Aliyekwambia hao nia Adam na Eve nani hata wewe ujadili suala la vitovu??? Kama hauna agenda za kuzungumza bora uwe msomaji tu.
 
Why would God our Almighty Mighty Creater with His perfectness......create appearance of a false history?

Therefore,obviously neither did Adam nor Eve as first humans had a belly button.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…