Adamu na Eva walikuwa na Vitovu (Belly buttons)?

Hakuna anayefahamu ukweli hata picha zao Si kweli
 
hapo namuona adam analichezea tunda.
 
Nionavyo Mimi hilo si swala la kuuliza kichwa kiasi hicho. Biblia anasema yaliyofichwa ni ya Mungu yaliyowekwa wazi ni ya kwetu na watoto wetu.
swala la kitovu kuwepo au kutokuwepo kwa Adam is non of our business, swala ni kwamba hiyo ni just imaginary photo. Ni MTU tu kachora picha ya Adam na Hawa sio real photo. Ni kama picha ya Yesu. huyu Yesu tunaemjua kwenye picha na kwenye sinema wala sio sura halisi.
Nashukuru kama umenielewa
 
najua nitakuwa nimetoka nnje ya mada ila unapotumia neno "himself" kwenye utambulisho wa mungu ina maaana kuwa mungu ni wakiume amaaaa na kama ni wakiume hebu nipe uthibitisho hapa.
Mungu hawez kuawakike hata iweje
 
duh! sikubahatika kuwaona wakiwa wadogo.
 
Haaahh kuna watu wanafikiria!! ...hizi fikra uarabun unanyongwa!! No thinking in Arabs nation
 
Hata kama ni imaginary pictures zisingekuwa na vitovu kwa sababu hawakukaa kwenye tumbo la uzazi.
Kwani wewe ni muumba na ulikuwepo kipindi wanaumba ....na kama ni hivyo mbona wakiume tuliwekewa chuchu si wangezitoa tu....All in all huwezi jua labda Muumba aliweka au la usi-imaging vitu usivyokuwa na uhakika navyo kama vipi na wewe chora picha zako...
 
Kama alitaka wakazaliane,lazima awaumbe na kitovu ili kikasaidie kumlisha mtoto tumboni.

Ni sawa na kuhoji umuhimu wa kucha,pengine Mungu aliamua kumfanya binadamu awe wa kuvutia ndio maana akamuwekea ishara za chuchu katika kifua,mwanaume na mwanamke,japo mwanaume hatanyonyesha.
 
Katika vitabu vitukufu Mungu anajitambulisha kiume ingawa, "Yeye hana mfano wake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…